Subiria wadau watakuja kukujibungono ni lazima kufanya?
.
.
.
usipofanya ngono madhara gani utapata???
.
.
hili swali ambalo mtoto wa dada yangu Eva ananiuliza sana..
nimpe jibu gani?
Ubarikiwe sana kwa kuwa hivyoMbona mi sIjAwAhI kufanya na niko sawa tu
Mwambie hakuna madhara na sio lazima kufanya
Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu
Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset
system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.
Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy
inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.
Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)
inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani
lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).
Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis
zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's
brain iniciated.
Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:
Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,
kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
Kusahausahau,
Kupendelea story za mapenzi,
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),
Kuumwa na kichwa,
Kukakamaa mgongo (wanaume),
Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.
Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
&[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
Mmh kumbe ndo maana ya damu nyingi wakati wa hedhi?? Noted

Wewe ushabakwa??Madhara yapo unawaza ukabaka bila kujijua au ukalambwa ww [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa,,,,,kwahyo unaanza kuachia zigo??Mmh kumbe ndo maana ya damu nyingi wakati wa hedhi?? Noted
NashukuruMapadri na masista wameweza
Inawezekana
SiweziHahahaaaa,,,,,kwahyo unaanza kuachia zigo??
Huo ni urijaliMadhara mengine uume unakuwa unadindadinda hata ukiona paja la mwanamke tu
Hili lina ugumu sana kwa mtu aliekamilika na asie na tatizo lolote kiafyaJe, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.
Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.
Hahahaaa!!!!!!!Ukiona unatembea huku unakata viuno ujue teyari umeanza kuathirika
Hapana mimi sijui22k viewed this ni kweli wengi hatufanyi mapenzi ili tujue madhara yatokanayo
Hata kwa sisi matowashi??HAIWEZEKAN LABDA UWE MGONJWA