Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

ngono ni lazima kufanya?
.
.
.
usipofanya ngono madhara gani utapata???
.
.
hili swali ambalo mtoto wa dada yangu Eva ananiuliza sana..
nimpe jibu gani?
Subiria wadau watakuja kukujibu
 
    • Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu

      Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset

      system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

      Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy

      inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

      Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)

      inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani

      lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

      Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis

      zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's

      brain iniciated.

      Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

      Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,

      kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

      Kusahausahau,

      Kupendelea story za mapenzi,

      Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

      Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

      Kuumwa na kichwa,

      Kukakamaa mgongo (wanaume),

      Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

      Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

      Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

      Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

      &[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
      attachment.php

Mmh kumbe ndo maana ya damu nyingi wakati wa hedhi?? Noted
 
Madhara yapo unawaza ukabaka bila kujijua au ukalambwa ww [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madhara mengine uume unakuwa unadindadinda hata ukiona paja la mwanamke tu
 
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.

Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.
Hili lina ugumu sana kwa mtu aliekamilika na asie na tatizo lolote kiafya

Tukianzia kibaiolojia
Mtu aliekamilika kiafya na anakula vema lazima atapata mihemko ya kimapenzi. Protein zinazokuwa mwilini zatakiwa kupunguzwa kwa namna mbali mbali na mojawapo ni sex! Kwa tuliosoma shuke za bweni tumewahi kujiuliza kwa nini vyakula kuna wakati walikuwa wanaweka mafuta ya taa? Mara nyungine haisaidii ilikuwa mnaletewa wasichana japo disco kupunguza mihemko. Enzi hizo nazikumbuka Tosamaganga sec vs Iringa girls sec then Pugu sec vs Jangwani girls nk
Ujue hii kitu ngumu kuzuia utaona hata wanaume wanaota usiku na kuchafua mashuka kama rijali lakini.
Kiimani
Kwa sie waislam ndo maana tunambiwa mtu anaeona amefika umri wa balehe au kuvunja ungo na hawezi kuoa bhasi afunge sunna za mara kwa mara ili zile protein zielekee kazi nyingine

Madhara
Pamoja na yale yliyoainishwa na members hapo juu mengine ni
1. Kucheka cheka ovyooo
2. Kusisimka kimwili hasa unapoona au kupata hisia za tendo nk
 
22k viewed this ni kweli wengi hatufanyi mapenzi ili tujue madhara yatokanayo
 
Back
Top Bottom