Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Je, kuna madhara gani kiafya usipofanya mapenzi kwa muda mrefu?

Kucheka Cheka Mara hasira sana mbona hamueleweki?
 
Je, kuna madhara gani ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 3/4 kiafya.

Ilihali unaendelea kutekeleza majukumu yako kwa ajili ya kufurahisha maisha baadae, na huna response yoyote ya kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano ya aina yeyote kimapenzi.
aisee mbali na ile ya vyuma kupata kutu,hiz nyingine sizijuii!!!!
 

  • Madhara ya Kutoshiriki Tendo la Ndoa kwa Muda Mrefu



    Aise, kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset

    system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as upo ktk active range of age! madhara yapo ya Negative na positive.

    Mfumo wa fahamu (central novous system) hutumia zaidi tendo la ndoa ku-radiate energy

    inayowezesha ubongo pamoja na mifumo mingine ya mwili kufanya kazi zake vizuri bila msongo.

    Suala hapa si lazima uke na uume kukutana na kuingiliana (penetration) ila tu stimulation(msisimko)

    inayofikisha mtu kileleni (orgasms). kwahiyo, nature(asili) inataka mke na mme kufanikisha zoezi hili maana ni jambo muhimu kama ilivyo kutoka jasho mwilini maana sio tu mwili unaondoa uchafu ndani

    lakini pia inacontrol joto la mwili (cooling effect).

    Anayesema amekaa zaidi ya mwaka na hana madhara.., well sikatai wala sikubali maana hatuna ushahidi nalo lakini zipo njia nyingi mbadala kama kutumia sex toys, dildo(vibrant artificial penis

    zitumiazo umeme), usagaji n.k. sasa sijui yeye anatumia ipi sababu vichocheo anavyo mwilini and, it's

    brain iniciated.

    Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

    Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo,

    kupendelea sana kuangalia picha za uchi,

    Kusahausahau,

    Kupendelea story za mapenzi,

    Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),

    Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu),

    Kuumwa na kichwa,

    Kukakamaa mgongo (wanaume),

    Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba katika usingizini wakati unapolala.

    Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

    Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

    Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

    &[HASHTAG]#8203[/HASHTAG];
    attachment.php

Siko tiar kukutana na ago madhara
Ko ntaendeleza ratba yangu ya 3 ×7/7
 
Kwani we ulianza kufanya at the age of 2yrs maana kama hukufa then basi hutokufa leo kwa kutokufanya
 
Back
Top Bottom