Je, kuna makampuni gani mapya yaliyoanzishwa na vijana wa Kitanzania?

Je, kuna makampuni gani mapya yaliyoanzishwa na vijana wa Kitanzania?

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
790
Reaction score
1,962
Habari,

Naomba kujua ni makampuni gani mapya yaliyoanzishwa mwaka ulioisha (2020) na vijana wa kitanzania?

Ahsanteni..
 
Mkuu Takwimu Hakuna Pia Iwapo Unataka Hilo Lazima Uende NBS
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi
Ule Utaratibu Ujanjaujanja Tu Wa Vyerehani Vinne Wote Tuliukataa Hadharani. Hamis Alisema Vijana Mjiajiri Naye Chali
Ndugai Sijui Naye Vp

Pwani Tu Ndiyo Kuna Viwanda Vingi Ila Siyo Vilivyoanzishwa Na Vijana, Najua Unataka Kujua Tulipo
 
Juice stand company ltd.
Urojo inc.
Biliani enterprice.
Fryed cassava cafe ltd
 
Bilionaire forextz
Qnet
Pilipili sauce
Vunjabei fashion
suit (weka jina ulipendalo)
Kampuni ni nyingi.
 
Back
Top Bottom