Mkuu Takwimu Hakuna Pia Iwapo Unataka Hilo Lazima Uende NBS
Unajua Mtanivuruga Hapa Sasa Hivi
Ule Utaratibu Ujanjaujanja Tu Wa Vyerehani Vinne Wote Tuliukataa Hadharani. Hamis Alisema Vijana Mjiajiri Naye Chali
Ndugai Sijui Naye Vp
Pwani Tu Ndiyo Kuna Viwanda Vingi Ila Siyo Vilivyoanzishwa Na Vijana, Najua Unataka Kujua Tulipo