Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hata kuvimba NI madhara ile NI sumu nafikiri inategemea Aina ya sumuZa jioni wadau,
Mdogo wangu akiwa na miaka 10 alitemewa mate machoni na nyoka flani mweusi ambaye sikujua ni aina gani ya nyoka mwaka 1999, cha kushangaza macho ya mdogo wangu yalivimba tu na hakupata madhara mengine yoyote mpaka leo hii, je ni kwamba huyo nyoka mate yake hayakua na sumu au nini kilitokea? Tuelimishane wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuuliza swali la msingi kuvimba NI madhara pia tumia akili yako vizuriBora usingejibu aisee, ungecomment kwenye topic nyingine kama huna cha kuchangia hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema kufa, au upofu kwake ndio madharaKaka kuvimba ni madhara,vinginevyo unge-define madhara kwako ni yapi kwenye thread yako mwanzo kabisa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously ur an idiot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Kila mtu anafaham madhara ninayoyaongelea , kifo, upofu , ss unaposema kuvimba ni madhara ubongo wako umejaa funza
Sent using Jamii Forums mobile app
Bad enough hataki kujifunzaSeriously ur an idiot [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo Hana walahi labda Ana kisoda af anajibu uharo TU eboooh ngoja nipige tea kwanzaYou are not serious.
Kuvimba sio madhara? Do you realize kwamba hiyo ni dalili kwamba simu nimefanya yake ndani mpaka inakuja kujionyesha kwa kuvimba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasema kufa, au upofu kwake ndio madhara
Tumpuuze labda anajifunza kuanzisha uzi jfBad enough hataki kujifunza
[emoji23][emoji23][emoji23] AsanteNdio maana vitu vingine unazama zako kwa mr. Google anakupa taarifa kibao, unaleta hapa kama mada halafu unataka watu wajibu kulingana na mawazo yako,
Very Pathetic.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi kuhusu hili Jambo, ihali ya kuwa huyo mdogo wako 'hajafa" Wala 'kupofuka"???
Kama unaamini kifo na upofu ndio madhara pekee usingepoteza muda wako na kuvishughulisha vidole vyako kuandika hii maada!
BTW uache ujinga na upumbavu wako wa kukataa kujifunza au kukubali ushauri Nyumbu Wewee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kusikia mtu ametemewa mate na nyoka akafariki!???
Aseee hawa ndio wasomi wetu wa siku hizi, degree za wapi sijui hizi mlizonazo.
Kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi kuhusu hili Jambo, ihali ya kuwa huyo mdogo wako 'hajafa" Wala 'kupofuka"???
Kama unaamini kifo na upofu ndio madhara pekee usingepoteza muda wako na kuvishughulisha vidole vyako kuandika hii maada!
BTW uache ujinga na upumbavu wako wa kukataa kujifunza au kukubali ushauri Nyumbu Wewee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaomekana umeanzisha uzi ukiwa tayari na majibu yako.Yani wewe kuvimba kwa muda baada ya kutemewa mate na nyoka unaona ni madhara, ubongo wako umejaa vunza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3], tushawazoea hao! Lakini ujinga na upumbavu sio tusi mkuu!