Je kuna Mate ya nyoka ambayo hayana madhara?

Za jioni wadau,
Mdogo wangu akiwa na miaka 10 alitemewa mate machoni na nyoka flani mweusi ambaye sikujua ni aina gani ya nyoka mwaka 1999, cha kushangaza macho ya mdogo wangu yalivimba tu na hakupata madhara mengine yoyote mpaka leo hii, je ni kwamba huyo nyoka mate yake hayakua na sumu au nini kilitokea? Tuelimishane wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuvimba NI madhara ile NI sumu nafikiri inategemea Aina ya sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana vitu vingine unazama zako kwa mr. Google anakupa taarifa kibao, unaleta hapa kama mada halafu unataka watu wajibu kulingana na mawazo yako,

Very Pathetic.
 
Kulikuwa na haja gani ya kuanzisha uzi kuhusu hili Jambo, ihali ya kuwa huyo mdogo wako 'hajafa" Wala 'kupofuka"???

Kama unaamini kifo na upofu ndio madhara pekee usingepoteza muda wako na kuvishughulisha vidole vyako kuandika hii maada!

BTW uache ujinga na upumbavu wako wa kukataa kujifunza au kukubali ushauri Nyumbu Wewee!!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu umeamua kumtukana kabisa, ngoja ccm wenzie waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom