Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Hata kuvimba NI madhara ile NI sumu nafikiri inategemea Aina ya sumuZa jioni wadau,
Mdogo wangu akiwa na miaka 10 alitemewa mate machoni na nyoka flani mweusi ambaye sikujua ni aina gani ya nyoka mwaka 1999, cha kushangaza macho ya mdogo wangu yalivimba tu na hakupata madhara mengine yoyote mpaka leo hii, je ni kwamba huyo nyoka mate yake hayakua na sumu au nini kilitokea? Tuelimishane wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app