Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maeneo gani niweke chaji kimeo changu ninyooshe kabisa na nguo za kazinNa huku wemekata jamani...
Walikata Mbezi Beach muda fulani ila ulisharudiMaeneo gani niweke chaji kimeo changu ninyooshe kabisa na nguo za kazin
Uku kwetu wanakataga kama hawana akili nzuri ila ukiwapigia ukawatukana wanarudishaWalikata Mbezi Beach muda fulani ila ulisharudi
Wapi huko?Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
Tutakoma Safari hii.Na bwawa limeshajaa, ila natumaini mmerejeshewa