Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

Maropes ole kipara ameshindwa kazi. Huku mjini umeme unakatika katika, huko mikoani hakuna petroli Wala dizeli.
Hivi kwanini tunamng'ang'ania huyu waziri?
 
Back
Top Bottom