Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

Hauitwi mgao sikuhizi wameubatiza jina jipya unaitwa kukosekana umeme kwasababu ya MABORESHO YA MIUNDOMBINU
 
Wanakata kila siku mbwa hawa, yaani hii nchi economically tumerudi nyuma sana na bado tupo chini sana. Mtu ukitoka ukaenda hata Tunisia tu hapo unaona kabisa huku ni kama tupo karne ya 15.
 
Kuna kipindi walifululiza kutuma SMS za kuomba mrejesho wa huduma zao.

Hizo SMS si bora wangekuwa wanatutaarifa wanakata saa ngapi watu tukajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…