H Hoaxer JF-Expert Member Joined Sep 7, 2022 Posts 2,726 Reaction score 6,852 Jul 26, 2023 #21 Maropes ole kipara ameshindwa kazi. Huku mjini umeme unakatika katika, huko mikoani hakuna petroli Wala dizeli. Hivi kwanini tunamng'ang'ania huyu waziri?
Maropes ole kipara ameshindwa kazi. Huku mjini umeme unakatika katika, huko mikoani hakuna petroli Wala dizeli. Hivi kwanini tunamng'ang'ania huyu waziri?