I love you so much my wifeWork hard and money will follow your path.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you so much my wifeWork hard and money will follow your path.
Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia.
Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money.
Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe na agano.
Miracle money inakuja sio kwa ajili ya kulia bata na kufanyia zinaa. Miracle money unapata ili kutimiza mission ya Mungu kama kusaidia yatima, wajane, wagonjwa na wahitaji mbalimbali.
Ukosha fanya kwa uaminifu hiyo mission kile kinachobaki ndio cha kwako.
Ukisikia mkuu wa dini anakwambia anakuombea upate miracle money, jiulizae maswali mengi.
Mbombo nkafuI love you so much my wife
Huu ujinga wa kuombewa sijui utaisha lini. Mungu ni baba wa watu wote. Mtu mmoja anajiweka mbele anawaambia ndugu zake ukitaka kitu Mimi nitakuombea Kwa baba. Upumbavu Gani huu?? Ina maana wewe huwezi kuongea na baba yako directly?? Basi una matatizo na huyo baba yako. NAOMBEZI, MAOMBEZI. Kila Kona MAOMBEZI! Utapeli mtupu. Mimi nikiwa na hitaji namuendea BABA Moja Kwa Moja. Hunipati na utapeli wa MAOMBEZI.Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia.
Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money.
Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe na agano.
Miracle money inakuja sio kwa ajili ya kulia bata na kufanyia zinaa. Miracle money unapata ili kutimiza mission ya Mungu kama kusaidia yatima, wajane, wagonjwa na wahitaji mbalimbali.
Ukosha fanya kwa uaminifu hiyo mission kile kinachobaki ndio cha kwako.
Ukisikia mkuu wa dini anakwambia anakuombea upate miracle money, jiulizae maswali mengi.
Kwanini usijiombee wewe mwenyewe?Huu ujinga wa kuombewa sijui utaisha lini. Mungu ni baba wa watu wote. Mtu mmoja anajiweka mbele anawaambia ndugu zake ukitaka kitu Mimi nitakuombea Kwa baba. Upumbavu Gani huu?? Ina maana wewe huwezi kuongea na baba yako directly?? Basi una matatizo na huyo baba yako. NAOMBEZI, MAOMBEZI. Kila Kona MAOMBEZI! Utapeli mtupu. Mimi nikiwa na hitaji namuendea BABA Moja Kwa Moja. Hunipati na utapeli wa MAOMBEZI.
TrueMafanikio makubwa yanabebwa na nia na sadaka kati ya anayeyapokea na ufalme anaoutumikia
Maisha ni haya haya, wacha tu tucheke😂😂😂😂😂😂😂 unanichekesha huku
kwa kweliMaisha ni haya haya, wacha tu tucheke
Unatakiwa kuweka UHUSIANO mwema na Mungu then muombe lolote utakalo atakupa maana hiyo ni AHADI YAKE. Mambo ya kuombewa siku hizi ni full UTAPELI. Mbona wao hawajiombei wapate hayo mapesa na magari na na majumba badala yake wanataka sadaka yako?? We have to think smart tuache huu upumbavu wa kuombewa.Kwanini usijiombee wewe mwenyewe?