Je kuna miracle money? Je ni nani ameshawahi kupata miracle money?


Mafanikio makubwa yanabebwa na nia na sadaka kati ya anayeyapokea na ufalme anaoutumikia
 
Huu ujinga wa kuombewa sijui utaisha lini. Mungu ni baba wa watu wote. Mtu mmoja anajiweka mbele anawaambia ndugu zake ukitaka kitu Mimi nitakuombea Kwa baba. Upumbavu Gani huu?? Ina maana wewe huwezi kuongea na baba yako directly?? Basi una matatizo na huyo baba yako. NAOMBEZI, MAOMBEZI. Kila Kona MAOMBEZI! Utapeli mtupu. Mimi nikiwa na hitaji namuendea BABA Moja Kwa Moja. Hunipati na utapeli wa MAOMBEZI.
 
Miracle money = hard work+ work smart+ money and time discipline
 
Kwanini usijiombee wewe mwenyewe?
 
Kwanini usijiombee wewe mwenyewe?
Unatakiwa kuweka UHUSIANO mwema na Mungu then muombe lolote utakalo atakupa maana hiyo ni AHADI YAKE. Mambo ya kuombewa siku hizi ni full UTAPELI. Mbona wao hawajiombei wapate hayo mapesa na magari na na majumba badala yake wanataka sadaka yako?? We have to think smart tuache huu upumbavu wa kuombewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…