Je, kuna Mtanzania mwenye Ferrari au Lamborghini hapo Dar jiji kuu Tanzania?

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Kama kichwa kinavyo uliza inamaana hakuna hata mtanzania mmoja mwenye kuweza kumiliki lamborghini AU ferrari mbona hii ni aibu ya kubwa sana inamaana taifa zima tunamiliki MIKANGAFU ya Toyota tu naumia sana haipendezi

Mbona tumeaminishwa hii nchi ina matajiri na watu maarufu wenye uwezo au tunadanganywa Mimi huwa nasikitika sana nikikatiza mitaa ya posta Kariakoo Siwezi Kukutana na mtu anaendesha hii Gari LAMBORGHINI AVAENTADOR AU FERRARI Shida iko wapi Watanzania.

Wakati Wenzetu Hapo Kenya Na Uganda Wana Drive Hizi Chuma inamaana Watanzania wote hatuna hela sitaki kufika huko ila tujitathimini. View attachment 2824245View attachment 2824244

 
Hahahahahaha
 
Unaona hiyo Ground clearance, utaipitisha barabara zipi hapa nyumbani?

By the way hivyo vigari hununuliwa na Celebrate tena Vijana wadogo up to around 30s; Kigari unakaa kama umekaa chini; mtu mzima anatafuta comfortability na sio show off.
 

Mhh!! Labda model 1920
 
Watanzania tujifunze ku-argue! Haya mambo ya kumuuliza mtu kama ''anayo'' au ''anaweza'' anapohoji kitu ni kama kichekesho. Umekuwa ni kama utamaduni wetu. Ongezea tena na mengine kama ''unamuonea wivu tu'' au ''kama una ushahidi peleka mahakamani''.
Soma kichwa cha andiko lake utaelewa ni kwanini nimemuuliza hivyo lkn km umekuja kwa mihemko huwezi kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…