Je, kuna Mtanzania mwenye Ferrari au Lamborghini hapo Dar jiji kuu Tanzania?

Je, kuna Mtanzania mwenye Ferrari au Lamborghini hapo Dar jiji kuu Tanzania?

Kama kichwa kinavyo uliza inamaana hakuna hata mtanzania mmoja mwenye kuweza kumiliki lamborghini AU ferrari mbona hii ni aibu ya kubwa sana inamaana taifa zima tunamiliki MIKANGAFU ya Toyota tu naumia sana haipendezi

Mbona tumeaminishwa hii nchi ina matajiri na watu maarufu wenye uwezo au tunadanganywa Mimi huwa nasikitika sana nikikatiza mitaa ya posta Kariakoo Siwezi Kukutana na mtu anaendesha hii Gari LAMBORGHINI AVAENTADOR AU FERRARI Shida iko wapi Watanzania.

Wakati Wenzetu Hapo Kenya Na Uganda Wana Drive Hizi Chuma inamaana Watanzania wote hatuna hela sitaki kufika huko ila tujitathimini. View attachment 2824245View attachment 2824244View attachment 2824246
Wewe unamiliki chombo gani cha usafiri?
 
Labda ninunue halafu niiweke juu ya pick-up na kuzunguka nayo maana kwa barabara zetu na mvua za hapo inaweza kuwa boti
Kwa hapo labda Sema wawe na Brabus au G Class au Maserati 4x4 yaani ziwe SUV na sio hizi za sports
Kupanga ni kuchagua kama Dubai wameamua polisi wawe nazo zote hizo
 
Kwani mleta mada hizo ferrari zinakuletea pesa mfukoni au ugali mezani? Mimi sijawahi waza hayo mambo labd ninushamba wangu hapa mjini ila nijuavyo watu hawanunui magari kisa anaweza kununua kuna mambo mengi ya kuzingatia mbona watu wana gari za bei kuliko hizo ulizotaja hapo ila pia unaonekana bado unakaushamba fulani ka mji na vitu vya mjini. Unaposema mikangafu ya toyota wakati watu wanapush ndinga za over 600m je ww na familia yako mkichanganywa pamoja mkapigiwa hesabu mnasogelea kweli thamani ya gari moja tu la boss kubwa mjini. Dogo jipange alafu taftabkazi ya kufanya sio kuangalia matajiri kwann hawanunui ferarri wakati ww na familia yako mkiulizwa chombo cha moto mlimiliki lini labda jiko la mkaa
 
LABDA KAMA HAPA NI DAR MAANA NDIO NILIPO IONA HII LAMBORGHINI AVENTADOR
Screenshot_2023-11-25-12-39-02-06.jpg
 
Nikiwa natembea kwa miguu pale Travel Partner Masaki karibu na Hostel za MUHAS nilifanikiwa kuiona Royce Royce mwaka fulani.

Lambogini ipo Kun watu washaiona kwa macho. Mimi niliiona ya David Mosha ktk gazeti ni ya njano kama sikosei.

Lakini pia hawa watoto wa matajiri wa kiarab Wana magari ya bei sana.

Waulizeni wafanyakazi wa Bakhresa kuwa watoto wa Bakhresa wanamiliki gari zipi koz kama mtu ananunua gari moja ya milioni mia tisa Lori halafu anashusha magari kama 200 au 300 atashindwaje kujifurahisha kwa kununua gari ya billion 2 au 3?
 
Davis Mosha alikiwa nalo hiyo Lamborghini mkuu.
 
Ferrari 458 spider alikua anato yule mtoto wa bakhresaa juzi kwenye ile car meet kigamboni walienda nayo

Kuna nyimbo madee kaimba ipo sema siyo ya karibuni(ferrari)

Lamborghini nimeiona kwenye picha moja
Murćielago ya njano
Zipo mkuu ila chache
 
Back
Top Bottom