Je, kuna Mtanzania mwenye Ferrari au Lamborghini hapo Dar jiji kuu Tanzania?

Ninayo tatizo ntaendeshea wap mkuu kwa hz barabara za kiwango cha stigla goji
 
Arusha nimewahi kuiona mara mbili ila ni nadra kukutana nayo
 
Sponsored by Wivu.
 
Tunakusubiri wewe ununue ndiyo tufuate.
 
Yupi huyo aliyeshusha lori 300 za ml 900?
 
Lamborghini ni gari ya house boy kwenda nunulia nyanya kwake Kiduku Lilo mbona.

Ferrari ni gari ya dada wa kazi kwenda nunulia chakula cha mbwa kwa Kiduku Lilo.🤣🤣
 
Matajiri wa huku Kilimanjaro na ARUSHA wanapendaga Suzuki escod, na Toyota stout 2000,hayo matakataka yenye nukshi ya dhahabu wapelekee waarabu mkuu
 


Hayo magari mbona watu wanayo tena namba "A" wewe unaishi wapi kwani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…