Rais wa kwanza wa Tanzania ni Julius Kambarage, baba yake ni Burito na babu yake ni NYERERENimetafakari tu kuhusu kuzaliwa kwetu tunajua tu mwisho wazazi wa wazazi wetu ila mababu wa mababa zetu. Ni giza totoro. Hatujui chochote.
Hayo ni majina tu, aliemuona au kumfahamu.Rais wa kwanza wa Tanzania ni Julius Kambarage, baba yake ni Burito na babu yake ni NYERERE
Unatakqje zaidi ya hapo?
Hili sasa swali la kibwege. Kwa heri hunioni tena humuHayo ni majina tu, aliemuona au kumfahamu.
Hahaha,Hili sasa swali la kibwege. Kwa heri hunioni tena humu
Huyo jamaa ni hewa sanaHili sasa swali la kibwege. Kwa heri hunioni tena humu