King JiluX
Member
- Jan 30, 2018
- 62
- 42
- Thread starter
- #21
Shukrani ushauri utazingatiwaKama una mpango wa kupaua nakushauri tumia ALAF tu, tulionenga kwa bati za mchina Kila mmoja hakuna anaetamani kuliangalia paa lake, hasa kama unajiweza na ulifanya ukaidi.