Kama una mpango wa kupaua nakushauri tumia ALAF tu, tulionenga kwa bati za mchina Kila mmoja hakuna anaetamani kuliangalia paa lake, hasa kama unajiweza na ulifanya ukaidi.
Hizo bati za chengachenga zilizo na muundo wa vigae ni nzuri kwa huo muonekano tu, ukiezeka mtu akitazama atafikiri umeezekea vigae, lakini hazina ubora.
Siyo tu kwamba yanapauka, bali yanapata kutu mapema sana.