land conquer
Member
- Jul 18, 2021
- 5
- 9
Kazi ni mamlaka ya hali ya hewa either Airport ,,,au kwenye vituo vya hali ya hewa nchini kote ,,,,au makao makuu hapo ubungo plaza kwa msaada zaidi tembelea www.meteo.go.tzHabari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
Usichanganye Meteorology (Hali ya hewa) na Metrology (vipimo)Kazi ni mamlaka ya hali ya hewa either Airport ,,,au kwenye vituo vya hali ya hewa nchini kote ,,,,au makao makuu hapo ubungo plaza kwa msaada zaidi tembelea www.meteo.go.tz
Maybe hujaelewa ila hiyo ni shahada ya vipimo na viwango. Kazi zake ni kwenye vituo vya mafuta, Weight and measure, TBS nkKazi ni mamlaka ya hali ya hewa either Airport ,,,au kwenye vituo vya hali ya hewa nchini kote ,,,,au makao makuu hapo ubungo plaza kwa msaada zaidi tembelea www.meteo.go.tz
Ubaya wa hizi kozi mwajiri ni wachache na mara nyingi ni serikali. Ukipata kazi umeuaga umaskini ukikosa kazi utalia kwa kusaza meno.Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
Dah ety ukipata ndoo umaskini bye bye sioo [emoji2] [emoji3]Ubaya wa hizi kozi mwajiri ni wachache na mara nyingi ni serikali. Ukipata kazi umeuaga umaskini ukikosa kazi utalia kwa kusaza meno.
Kama wewe ni mtoto wa mkulima think twice.
Ubaya wa hizi kozi mwajiri ni wachache na mara nyingi ni serikali. Ukipata kazi umeuaga umaskini ukikosa kazi utalia kwa kusaza meno.
Kama wewe ni mtoto wa mkulima think twice.
Ulikosa ushauri wa kuchagua kozi,kozi zingine soma ukiwa ndani ya ajira husikaUnachosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza hii course 2020, mpaka sahivi nasugua bench[emoji1487]
Ulikosa ushauri wa kuchagua kozi,kozi zingine soma ukiwa ndani ya ajira husika
Ucwaze utapata.Kwan kaz zenu azitangazwi?Kwa kifupi hii sio course ya kusoma kama huna connection au haupo kwenye Ajira. Najutaa sana kusoma hii course. Nakumbukaga nilikuwa na option mbili UDSM chemical engineering na CBE metrology and standardization, ila nikaona CBE ni miaka mitatu nikaona kitongaa. Ila najuta bora ningesoma chemical engineering kudadekii
Ucwaze utapata.Kwan kaz zenu azitangazwi?
Mkuu, ebu kwanza. Ulisoma nini na wapi?Zinatoka ila kwa uchache sana, mara ya mwisho ni 2021 zilitoka nafasi 4 tu katika tasisi ya WMA (weights and measures agency).
Mods inaitwa: Meteorology
Mkuu, ebu kwanza. Ulisoma nini na wapi?