Je, kuna mwenye kuifahamu vyema Bachelor of Metrology and Standardization?

KAZI zao Ni vyuoni maabara za physics na TBS

Utawakuta Sana maabara ya taifa TBS, wakala wa vipimo, mizani, bandarini, Tazara n.k
 
Habari zenu wakuu,

Nilikuwa naomba msaada kwa anayeelewa Degree ya Metrology and Standardization sehemu atazoweza kufany kazi pamoja na basic salary yake.
Ubaya wa hizi kozi mwajiri ni wachache na mara nyingi ni serikali. Ukipata kazi umeuaga umaskini ukikosa kazi utalia kwa kusaza meno.

Kama wewe ni mtoto wa mkulima think twice.
 
Dah ety ukipata ndoo umaskini bye bye sioo [emoji2] [emoji3]
 
Ubaya wa hizi kozi mwajiri ni wachache na mara nyingi ni serikali. Ukipata kazi umeuaga umaskini ukikosa kazi utalia kwa kusaza meno.

Kama wewe ni mtoto wa mkulima think twice.

Unachosema ni sahihi kabisa. Nimemaliza hii course 2020, mpaka sahivi nasugua bench[emoji1487]
 
Kwa kifupi hii sio course ya kusoma kama huna connection au haupo kwenye Ajira. Najutaa sana kusoma hii course. Nakumbukaga nilikuwa na option mbili UDSM chemical engineering na CBE metrology and standardization, ila nikaona CBE ni miaka mitatu nikaona kitongaa. Ila najuta bora ningesoma chemical engineering kudadekii
 
Ucwaze utapata.Kwan kaz zenu azitangazwi?
 
Japo kuna tasisi zingine zina metrology laboratory kama vile TBS, TAEC nk ila kupata huko sio rahisi. Na ukipata huko jua unakula mema ya nchi tu
 
Back
Top Bottom