Je, kuna njia yoyote ya kupata mapacha

Je, kuna njia yoyote ya kupata mapacha

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
602
Reaction score
969
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wataalam naomba mnielekeze kama kuna njia yeyote ile ambayo inaweza ikatumika kwa mwanamke ili aweze kubeba uja uzito wa mapacha!

Napenda ziwe njia za asili

Asanteni
 
Mara nyingi hii hufuata genes, kama kwenu kuna historia ya mapacha.
Hilo la kuhusu genes nalijua, lkn kuna mahali niliwahi kusikia siku za nyuma kuwa kuna njia pia unazoweza kutumia! Tatzo sina contact za yule aliyekuwa anasema
 
Hilo la kuhusu genes nalijua, lkn kuna mahali niliwahi kusikia siku za nyuma kuwa kuna njia pia unazoweza kutumia! Tatzo sina contact za yule aliyekuwa anasema
Njia nyingine ni kutumia fertility pills, lakini yai linawezs kukamata hata mbegu 6-9 kwa mpigo.
 
Njia nyingine ni kutumia fertility pills, lakini yai linawezs kukamata hata mbegu 6-9 kwa mpigo.
Kama sijakosea
vidonge vya kupevusha mayai ya mwamke (overy)? Ambazo humeza baada kutoka kwenye Mestral flow (yaani anaza kumeza siku ya 5 toka aingie kwenye Mestuation)
 
Kama sijakosea
vidonge vya kupevusha mayai ya mwamke (overy)? Ambazo humeza baada kutoka kwenye Mestral flow (yaani anaza kumeza siku ya 5 toka aingie kwenye Mestuation)

Vinaitwaje au kupatikana wapi mkuu
 
Vinaitwaje au kupatikana wapi mkuu
[/QUOTE

Hospital Muone Daktari kwa ushaauri
wanapewa hasa kinana mama amba wanatatizo la kubeba mimba hupewa ili kukomaza/kupevusha mayai Kuna Jamaa yangu mmoja Mke wake alikuwa na tatizo la kutopata ujauzito mkewe apewa dawa hizo na akaambiwa vidonge hivyo huwa vinaposibility ya mama kuzaa mapacha
batinzuri Mkewe alivyo beba ujauzito alizaa mapacha
 
Njia nyingine ni kutumia fertility pills, lakini yai linawezs kukamata hata mbegu 6-9 kwa mpigo.
Hapana siyo yai linakamata mbengu sita. Yai hukamata mbengu moja tu. Mtu akitumia dawa za kuboost fertility. Ovaries ndo zinaweza kufyatua mayai mengi na kila yai litakamatwa na mbengu moja.
 
Back
Top Bottom