Je kuna nyimbo mwanaume hupaswa kuzishabikia pia kuna nyimbo mwanaume hapaswi kuzishabikia?

Ukimuona mwanaume anamaindi vitu vidogo vidogo ili kuthibitisha au kudhihirisha uanaume wake, jua ndani yake kuna insecurity kubwa sanaaaa

By the way, Mimi nasikiliza genre yoyote ile, wimbo nikiona una lyrics Poa na unasound fresh, why not!!...
 
Kuna mzee alikuwa anapenda sana Tango ya Mandy na Dimpoz. Akifika baa anasema weka wimbo wa tango.
 
Binafsi mm ninanyimbo Zaid ya elf 3 kwa simu lakin Huwa nkizpiga mbele za watu wanasema hawazielew especially wanawake na wavulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…