Je kuna nyimbo mwanaume hupaswa kuzishabikia pia kuna nyimbo mwanaume hapaswi kuzishabikia?

For ma side napenda kusikiliza sana kazi za Migos, R.I.P ma best Rapper TAKE OFF, ngoma yoyote aliyoshirikishwa member wa Migos lazima niikubali.
 
Mno, zipo nyingi zenye jumbe nzito.
Siku hizi ukiwa na watoto unakuwa makini cha kusikiliza.
Watoto wanaimba eeee Kwikwiii na wewe mzazi unaungia hapo hapo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]maisha yamebadilika sana.
[emoji28][emoji28]
 
Sodoma nauona moto ukibiduka palanawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
No unapretend kuwa masculine sana kwa kuepuka kusikiliza vitu vya kawaida kabisa, kama ww ni soft ni soft tu hata usikilize Onxy songs toka asubuhi hadi usiku. Na kama ni mlume ndago kusikiliza uko nyonyo haikutolei ulume wako
Aisee
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.

Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.

Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
Kuna manzi nilikua nampiga one night stand nikawasha Laptop ingia YouTube tusikie wimbo manzi akasema anapenda nyimbo za Zuchu nikasema isiwe kesi weka nyimbo anayopenda kamatia piganisha vikojoleo hadi kuna pambazuka

Sikuwahi kumwambia hizo nyimbo sizipendi
 
Katika nyimbo nilizo shindwa kusikiliza ni taarabu......hizi nyimbo zimejaaa mafumbo misemo michafu hata km unasikiliza jirani akasikia ama kuna mgeni kaja anaweza hisi unamsema ....na hata baadhi ya wasanii wa kisasa wanaimba matusi tu tunabaki kusikiliza
...mwanaume tumeumbwa matesoooo matesooo kuhangaika[emoji1787][emoji1787]
 
Hata mimi taarabu sizipendi ila kuna zile za zamani kama Njiwa peleka salamu naweza kusikiliza,zilikuwa na ujumbe sana
 
Mbona hata za mzee yusuph zina ujumbe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28], labda kwa sababu huwa simfuatilii, ila hata kama zina ujumbe zinakuwa na mipasho ya ajabu ajabu ndio kinachoharibu. Mara soda ya kopo sijui nini aah
 
Mwanaume hupaswi kusikiliza nyimbo yeyote ambayo msanii ana behave kishololo shololo (hususani kwa ma artist ambao ni wanaume)

Mwanaume unatakiwa usikilize nyimbo ngumu uumize kichwa ku decode ujumbe na sio kupenda mseleleko wa vitu vyepesi kwa kupagawishwa na auto tunes.

Mwanaume unatakiwa nyimbo unayoipenda hakikisha haipendwi na mademu, na kama ikitokea basi aina ya mademu wale wenye brain heart wanaosikiliza nyimbo ngumu.

Mwanaume inatakiwa ukikutwa unasililiza nyimbo kila mtu akuulize huyo ni msanii gani na hiyo ni nyimbo gani.
Upo sahihi kabisa, mwanaume huwezi sikiliza nyimbo km "moyo unadunda pu pu puuu" au "Nampa sukari" na unalamba kabisa mikono....
 
Back
Top Bottom