converterr
JF-Expert Member
- Jan 28, 2023
- 294
- 593
Mimi hata mamako akiimba nasikiliza tuu...achilia mbali dadako....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni ma artist wa hip hop sio bongo flevaDu! hapo siujui hata mmoja,labda kwa sababu sio mpenzi sana wa Bongofleva
Haha ha ha ha ha ha.Wakuu,
Nataka kujua tu,hivi kuna aina za nyimbo mwanaume akizipenda ataonekana kama mtu asiyejielewa na pia kuna nyimbo mwanamke akizipenda ataoneka wa ajabu au asiyejielewa pia?
Kwa mfano chukulia umeenda gheto kwa mshikaji labda ana mke na watoto labda na kipara kwa mbali ameweka huu wimbo na anaimba
Nipo chuchu nipo Nyonyo aaah nimejaa teleee....[emoji3][emoji3]
Au kuna Mdada kaolewa na ana watoto lakini au hana na anapenda nyimbo kama huu
Gusanisha hasi na Chanya mamaa weeee,Mabaharia toka buza tulifika.....waweke fresh tunarukaga ukuta....[emoji3]
Tukuchulie wote hawa bado wako kwenye umri wa ujana,
Kwa kawaida kila mtu anapenda anachopenda huwezi kumpangia lakini kimtizamo je kuna nyimbo wanaume hawapaswi kuzishabika na pia kuna nyimbo wanawake hawapaswi kuzishabikia kwa sababu tofauti tofauti?
Karibu kwa maoni yako.
Kina Nikki, Songa, na Mawenge mbona wako popular sana.Aise,Kumbe kuna utofauti,basi nimepitwa kushoto
X-Plastaz..Nini dhambi.Hebu toa mfano wa nyimbo ngumu,maana wengine tunapenda soft music kama za kian Celine,JLO,RKelly nk
Haha kila jambo lazima wamaanishe kinyumecheWanaume mna kazi
[emoji28][emoji28][emoji28],Jamaa wanakuaga na ujumbe hatari,tatizo mabiti yao magumu tuX-Plastaz..Nini dhambi.
"
Uliza swali, kama
Sote tungekuwa wasomi,
Matajiri
Ni nani angelifanya kazi za
Kutisha na hatari mfano ya
Mochwari Kila mmoja wetu hapa mjini
Kaja kwa dili
Kila kitu, kila mahali
Na hata ngozi ya mtu dili
Wengine wachawi, waganga
Feki Matapeli, wasafiri ------
Wakati wengine wapole kama
Walokole"
Madude kama hayo yapo na kule kwa Baideni.. DMX Where the hood At
"Man, cats don't know what it's gonna be
Messin' with a dog like me
D to the M to the X
Last I heard, you cowards was havin' sex with the same sex
I show no love"
Mambo ni mengi muda mchache sana,
Unakutana na Gentleman anaimba Sukariii...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
It depends on energy needs and demand ya muda huo.Wakuu,
Nataka kujua tu,hivi kuna aina za nyimbo mwanaume akizipenda ataonekana kama mtu asiyejielewa na pia kuna nyimbo mwanamke akizipenda ataoneka wa ajabu au asiyejielewa pia?
Kwa mfano chukulia umeenda gheto kwa mshikaji labda ana mke na watoto labda na kipara kwa mbali ameweka huu wimbo na anaimba
Nipo chuchu nipo Nyonyo aaah nimejaa teleee....[emoji3][emoji3]
Au kuna Mdada kaolewa na ana watoto lakini au hana na anapenda nyimbo kama huu
Gusanisha hasi na Chanya mamaa weeee,Mabaharia toka buza tulifika.....waweke fresh tunarukaga ukuta....[emoji3]
Tukuchulie wote hawa bado wako kwenye umri wa ujana,
Kwa kawaida kila mtu anapenda anachopenda huwezi kumpangia lakini kimtizamo je kuna nyimbo wanaume hawapaswi kuzishabika na pia kuna nyimbo wanawake hawapaswi kuzishabikia kwa sababu tofauti tofauti?
Karibu kwa maoni yako.
Hilo halina shida,maana ni sehemu ya kazi,ila hata wewe kuna nyimbo unazipenda kutoka moyoni kiasi kwamba ukiwa home unasikiliza kama starehe sio kaziWengine kazi zetu ni u DJ na kusherehesha, so lazma tuskilize ujue sehem ipi ya wimbo utachange kuingizia wimbo mwingine ili kuburudisha n.k
Sasa mwanaume unaskiza blues ili iwejeWakuu,
Nataka kujua tu,hivi kuna aina za nyimbo mwanaume akizipenda ataonekana kama mtu asiyejielewa na pia kuna nyimbo mwanamke akizipenda ataoneka wa ajabu au asiyejielewa pia?
Kwa mfano chukulia umeenda gheto kwa mshikaji labda ana mke na watoto labda na kipara kwa mbali ameweka huu wimbo na anaimba
Nipo chuchu nipo Nyonyo aaah nimejaa teleee....[emoji3][emoji3]
Au kuna Mdada kaolewa na ana watoto lakini au hana na anapenda nyimbo kama huu
Gusanisha hasi na Chanya mamaa weeee,Mabaharia toka buza tulifika.....waweke fresh tunarukaga ukuta....[emoji3]
Tukuchulie wote hawa bado wako kwenye umri wa ujana,
Kwa kawaida kila mtu anapenda anachopenda huwezi kumpangia lakini kimtizamo je kuna nyimbo wanaume hawapaswi kuzishabika na pia kuna nyimbo wanawake hawapaswi kuzishabikia kwa sababu tofauti tofauti?
Karibu kwa maoni yako.
[emoji3][emoji3]Hapo nimekuelewa,kwamba kuna nyimbo ukisikiliza mbele ya masela watakuona unazinguaIt depends on energy needs and demand ya muda huo.
kunakuwaga na zile nyimbo huwezi sikiliza mbele ya washikaji na masela zako for the sake of maintaining your masculine frame.