Serikali bado ina hamu ya kuendelea kudisplay upuuzi wake mbele ya dunia.Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya mamia ya wananchi kwa bunduki za polisi, kura feki kupigwa, mali za umma na watu binafsi kuharibiwa kwa kuchomwa moto na uporaji, kura feki na washindi feki kutangazwa.
Kwa sasa Tanzania kuna madiwani feki na wabunge feki. Rais ametangazwa na Bunge feki limeapishwa.
Kwa kuwa uchaguzi feki umefanyika na sasa tunaelekea kupata serikali feki na hakuna uhaini umefanyika, je kuna haja gani kuendelea na kesi ambayo kilichokuwa kinadhaniwa kingefanyika hakijafanyika? Rais yupo, wabunge wapo na madiwani wapo ni nini kinachotafutwa katika kesi hii kama siyo kupoteza rasilimali za nchi bure?
Mkuu hiyo incompetence unayoiona mahakamani, iko taaisis zote za serekali. Sijashangaa kuona hayo kwenye hiyo mahakama maana ni tatizo la kimfumo.Hii kesi ni darasa tosha.Yaaan nimejiuliza majaji wanakubali kupelekwa puta kukubali kupokea mashahidi wa siri huku sheria hazikubali yaan pingamizi alizo weka Lissu kawakabia ksa juu mpaka unajiuliza naona pale mahakamani kuna upuuzi hua unaendelea kwa kuweka mapoyoyo kusimami mihimili hii
Najiuliza hivi mahakama za tanzania wanaweza kushiriki na mahakama kubwa duniani kujadiliana mikutano mfano tu maajabu niliyoweza kuona kesi za ugaidi zina zamana tena polisi
Yaan kweli tunahitaji mabadiliko makubwa sana na sio kwa kukurupuka inatakiwa aje kiongozi mweny vision kubwa na akili kubwa atuvushe hapaMkuu hiyo incompetence unayoiona mahakamani, iko taaisis zote za serekali. Sijashangaa kuona hayo kwenye hiyo mahakama maana ni tatizo la kimfumo.