Ya alizetYa nini?
Kwamba ni pumba?Na nunua mashudu
Isiwe taabuπππKilimo cha mimea jamii ya kunde kitatuletea mabadiliko, ufugaji wa Kwale ni muhimu pia
Anatangaza biashara yake... Kwa wenye mifugo waulizie Bei tuπππKwamba ni pumba?
Msijitoe akili kwani mmesahau usemi wa wahenga kuwa pindi utakapo ionja nyama ya mtu kamwe huwezi kuachaa?Ikinachotokea kwa hao maharamia walianza kula nyama majirani zao,sasa yamehamia ndani ya familia zao.Nasema hiviii,kulanene hata mteketeze familia zenu wenyewe,kwani majirani walishajua nyie wala nyama za watu!Mkuu wa nchi alitamka mbele ya wazee Dar. Kuwa kuna watu walitaka kuangusha dola hiyo tar 29 Oktoba. Hii kauli imenishutua sana. Na mpaka leo huwa natafakari.
Kwamba kulikuwa na watanzania waliotaka kuingia Ikulu na kukamata dola kwa kutumia vijana na watu waliondamana wakidai kuchoshwa na ufisadi na upendeleo wa mafidi wa CCM.
Kwa mantiki hiyo kuna Watanzania na wanasiasa ambao hawamtii na hawakubaliani na utawala wa Rais Samia.
Je, kuna safisha safisha inayopita kushughulikia kwa namna mbalimbali?
Nyie akina nani?Msijitoe akili kwani mmesahau usemi wa wahenga kuwa pindi utakapo ionja nyama ya mtu kamwe huwezi kuachaa?Ikinachotokea kwa hao maharamia walianza kula nyama majirani zao,sasa yamehamia ndani ya familia zao.Nasema hiviii,kulanene hata mteketeze familia zenu wenyewe,kwani majirani walishajua nyie wala nyama za watu!
Watafuna TanzaniaNyie akina nani?
Kwa tafsiri yako weweKwamba ni pumba?