Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot 100/200?
Afrobeats ya west Afrika imefanikiwa kupenya,je, vipi kuhusu Bongofleva?