Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

Hapa Tanzania tajiri maarufu Mo
Na kuna Mo wangapi malofa?

Tanzania ukiwa na jina Mohamed na ukawa tajiri unaitwa Mo.. Ukiwa maskini unaitwa Mudy..

Hivyo Mudy ni Mohamed maskini.. Mo ni Mohamed tajiri
 
Kwa hapa Tanzania jina la mwisho likiwa na herufi M basi unaweza kuukwaa Urais,

1. Ally Hassan Mwinyi.

2. Benjamin William Mkapa.

3. John Joseph Magufuli.
Vipi N na K yani Nyerere, Kikwete?
 
Back
Top Bottom