YEHODAYA JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 36,902 Reaction score 52,001 Jan 1, 2021 #21 TEAM 666 said: Kuna yule Bakharesa wa buzza kwa liombo hata pakulala hana Click to expand... kama copy jina hakupewa na wazazi
TEAM 666 said: Kuna yule Bakharesa wa buzza kwa liombo hata pakulala hana Click to expand... kama copy jina hakupewa na wazazi
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Jan 1, 2021 #22 The Boss said: Hapa Tanzania tajiri maarufu Mo Na kuna Mo wangapi malofa? Click to expand... Tanzania ukiwa na jina Mohamed na ukawa tajiri unaitwa Mo.. Ukiwa maskini unaitwa Mudy.. Hivyo Mudy ni Mohamed maskini.. Mo ni Mohamed tajiri
The Boss said: Hapa Tanzania tajiri maarufu Mo Na kuna Mo wangapi malofa? Click to expand... Tanzania ukiwa na jina Mohamed na ukawa tajiri unaitwa Mo.. Ukiwa maskini unaitwa Mudy.. Hivyo Mudy ni Mohamed maskini.. Mo ni Mohamed tajiri
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jan 1, 2021 #23 la magica said: Mwanao umuite larry naye aje kuwa bilionea[emoji28][emoji28] larry bwalya ni namba ngapi kwenye hiyo orodha Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
la magica said: Mwanao umuite larry naye aje kuwa bilionea[emoji28][emoji28] larry bwalya ni namba ngapi kwenye hiyo orodha Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jan 1, 2021 #24 stroke said: Huu ukoo una bahati sana, Halafu ni Laiser. Click to expand... Lsiser au Laizer?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 1, 2021 #25 Kanungila Karim said: Lsiser au Laizer? Click to expand... Laiser kwa kimasai wanaitwa Olaiser.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 1, 2021 #26 Freed Freed said: Wala nisingeanzisha Click to expand... Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
F Freed Freed JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 6,547 Reaction score 7,167 Jan 1, 2021 Thread starter #27 stroke said: Kwa hapa Tanzania jina la mwisho likiwa na herufi M basi unaweza kuukwaa Urais, 1. Ally Hassan Mwinyi. 2. Benjamin William Mkapa. 3. John Joseph Magufuli. Click to expand... Vipi N na K yani Nyerere, Kikwete?
stroke said: Kwa hapa Tanzania jina la mwisho likiwa na herufi M basi unaweza kuukwaa Urais, 1. Ally Hassan Mwinyi. 2. Benjamin William Mkapa. 3. John Joseph Magufuli. Click to expand... Vipi N na K yani Nyerere, Kikwete?
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Jan 5, 2023 #28 Freed Freed said: Vipi N na K yani Nyerere, Kikwete? Click to expand... Jitahidi kusaka pesa kwa kazi ya halali utajiri ni kipaji kama vipaji vingine auna mahusiano na majina
Freed Freed said: Vipi N na K yani Nyerere, Kikwete? Click to expand... Jitahidi kusaka pesa kwa kazi ya halali utajiri ni kipaji kama vipaji vingine auna mahusiano na majina