KINGSLEE
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 830
- 1,046
Aisee msema kweli Mpenzi wa Mungu kuna kitu kinaitwa Advanced Econometrics i na Advanced Econometrics ii nakumbuka hili somo wakati nachukua Masters yangu lilinisumbua sana yani kufikisha course work tuh Issue halafu Prospectus ya chuo Ukipata Sup Nne ni Discontinuer.😭😭Kila mtu ana somo ambalo halikuwahi kuwa rahisi kwake. Labda kwa wachache ambao ni exceptional wanaweza wasiwe walikutana na hii situation.
Nimekumbuka enzi zangu nipo chuo. Katika harakati zangu za kuijenga future yangu nikabahatika kutua kwenye chuo kimoja wapo kikubwa hapa nchini kwa course ya miaka 3.
Harakati zikaanza, siku zikaenda nikafanikiwa kuingia mwaka wa pili hapa sasa ndipo nilikutana na ugumu na kuiona elimu ngumu...
Sitakuja kulisahau somo moja linaitwa ECONOMETRICS. Kwa wale waliosoma Economics au course zenye uhusiano na economics watakuwa wanalielewa hili somo. Kwa course yangu na department yangu nilipokuwa. Hili ni moja wapo ya masomo ambayo huwa 'yanawakamata' watu wengi sana.
Ingawa nilibahatika kulifaulu vizuri chamoto nilikiona na nilinyoosha mikono juu.
yani nikaamua kulikomalia mpk kieleweke cha ajabu sasa Paper ya Ue nikafaulu kwa ushindi Mwembamba sana licha ya juhudi za kufanya Discussion, kupitia Last paper za Ue zilizopita. Dah! Ila Prof alikamata wengi sana Sup. Aisee hili somo nimeSalut mpk Tuday huwa nalikumbuka sana tuh. Na sifikirii kusoma tena elimu ya juu