Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

Aisee msema kweli Mpenzi wa Mungu kuna kitu kinaitwa Advanced Econometrics i na Advanced Econometrics ii nakumbuka hili somo wakati nachukua Masters yangu lilinisumbua sana yani kufikisha course work tuh Issue halafu Prospectus ya chuo Ukipata Sup Nne ni Discontinuer.😭😭
yani nikaamua kulikomalia mpk kieleweke cha ajabu sasa Paper ya Ue nikafaulu kwa ushindi Mwembamba sana licha ya juhudi za kufanya Discussion, kupitia Last paper za Ue zilizopita. Dah! Ila Prof alikamata wengi sana Sup. Aisee hili somo nimeSalut mpk Tuday huwa nalikumbuka sana tuh. Na sifikirii kusoma tena elimu ya juu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila watu mna hatari?
Hivi unawezaje kuchabo??

Mie mtihani ukinikaba ndio nakufa hivyo na tai shingoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siku ya necta niliona kabisa nakufa, ilibidi kutumia mbinu za kivita.

Kuna jamaa, namshukuru sana mpaka leo hii alinisevu. Ilikuwa Pepa one Physics, jamaa aliwahi kujaza booklet lake aka ongeza la pili.

Sasa jamaa ni muungwana sana, Tuliwacheki na kuwalia timing wasimamizi kwa haraka sana, jamaa akanipa booklet yake aliyo ijaza.

Nami nikapata vya kajaza kwenye booklet yangu.

Dakika za mwisho pale nikafanikiwa kumrudishia booklet yake.
 
haloo mziki wake sio kitotoo
regression analysis
multicollenearity
bita 1&bita 2

mi mwenyewe second year nilionaga chungu balaa
 
It is very risk aisee🙌
Waoga hatuwezi kufanya hivi,tutakamatwa.

Alikuokoa mkuu, vinginevyo Physics isivyo na mzaha,inakuchinja😂
 
Chuo hakuna kozi ngumu, huwezi kua umechomoa mziki wa pcb au pcm chuo usumbuke na hi course unaweza soma week ukamaliza desa zima, sema chuo mambo mengi watu wengi wanajichanganya, ila kama wangepiga msuli ule ule wa advance chuo pepesi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…