Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe?

Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi karibu wote?

D14348A4-AA91-4182-A8AF-30F4EB824331.jpeg
CBAC4227-5A1F-46CE-B8F4-036629E6D5F1.jpeg
4A2EF614-3A9D-4374-BA0E-B03FFDDB2780.jpeg
 
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe? Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi karibu wote?

View attachment 2280530View attachment 2280531
mtu chake wa kupuliza kayaman zitto junior GENTAMYCINE Count Capone hili la uwepo wa jamii ambayo ni inbreeding depression huko Rwanda mnalifahamu ?
 
Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe? Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi karibu wote?

View attachment 2280530View attachment 2280531
hata kuku wanafanana
 
Is Chinese a race? Or Somali? Hao wachina na jamii zao wako kwenye cluster ya Mongoloids
Chinese ni subrace kubwa sana huko Asia, na ufanano wao ni general Racial traits za Kichina. Hapa nazungumzia specific phenotypic similarities baina ya kikundi cha watu wachache kiasi unaweza ukasema wote ni kaka na dada, inawezekanaje nchi nzima mfanane na Rais wenu, so specifically?!
 
Ngumbaru umetupoteza mazima
 
Back
Top Bottom