Watutsi Wana vinasaba vikali sana, hata akiolewa na Mhutu watoto wanatoka na uTutsi zaidi!! Na hao Cha mtoto ukiwaangalia waHima wa Uganda au banyankole na Bakiga Hawa ni familia ya Watutsi yaani ni mule mule kama Kagame.
Then kingine 90% Rwanda ni Wahutu ambao hawafanani kabisa na Kagame coz Wana sura za kibantu tofauti na watutsi wenye sura za Kicuishites kama Somalia au Eritrea.
Burundi Ili kuua tofauti zao waliwahi Anza mpango wa Mtutsi kuoa Mhutu and vice versa Ili izaliwe kabila moja tu..... aliyeasisi huu mpango (Prince Rwagasore) alikua ni Mtutsi na alikua ndio Rais wao, ila aliuawa kinyama na Watutsi wenzake kisa tu alitaka "kuchafua" damu ya Watutsi kwa kuruhusu ndoa na Wahutu.