Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

Mijamaa ni mibinafsi sana
 
Kuna uzi humu ulielezea zenji wanaminya watoto vichwa ili wawe navichwa round waweze kuvaa baraghashia vizuri.

Wafanane na wajomba zao wa umani.


#MaendeleoHayanaChama
[emoji16][emoji16]
 
Hili la Prince Rwagasore kuwa aliuawa na Watutsi bado lina baki kuwa fumbo zito,, bado hakujapatikana ushahidi wa kutosha kudhibitisha hilo,,
 
Habyarimana, nae mkamtumgua sio? Nasikia hii mdio ilisababisha ule ukatili wa kinyama wa 1994. Hivi watu wanawezaje kuwa wakatili kiasi kile?

Naam, ni moja ya sababu.

Binadamu wana asili ya ukatili mkubwa ndani yao, ni zaidi ya wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…