Kumbe kuna mtu anashambuliwa, kwann wasikamatwe tunasubiri kushambuliwa?Nipo tayari kupokea shambulizi lolote, ila nachohitaji ni kuambiwa ukweli tu maana tusiwe tunakurupuka tu
TutamkumbukaTanzania ni nchi pekee duniani ambayo haijachanja raia wake chanjo ya covid-19 mpaka sasa.
Nchi nyingi duniani zimechanja raia wake chanjo ya covid-19.
SWALI:
Je kimadhara na faida, kuna tofauti gani kati ya Tanzania na hizo nchi zilizochanja watu wake?
Je Tanzania watu wamekufa sana na covid-19 kuliko India, Africa kusini, Italia e.t.c?
Je kiuchumi Tanzania imeathirika kwa kiwango gani?
Labda tujilinganishe na Kenya au Uganda...nani ameathirika na janga la covid-19 ukilinganisha na Tanzania?
Karibuni kwa mawazo ya kuunga mkono au kupinga hii mada kwa ushahidi dhahiri.
Kwahiyo kelelezote hizo ni chanjo tu na siyo mikakati ya Jumla ya kupambana na covid-19? Basi sawaTofauti ni kubwa sana, kwanza nchi inayotoa chanjo raia wake anakuwa free on travel akiwa na kadi ya uthibitisho.
Wewe mbongo utapata tabu sana, hutoweza kutoka hapo kwenu kwenda popote, labda RUSHWA ya kadi za corona kama ipo utatoka.
KUMBUKA: Binkubwa na ile tume wamefanya hivyo makusudi ili kuwalinda watz flani watakaokuwa na route nje ya nchi.
NB: Muda si mrefu bila kadi hutoki nchini mwako, kama ilivyo yellow fever!.
Magufuli alishamaliza kazi yake na wala hajui nini kinaendelea Tanzania, tuliobaki hai ndiyo wa kujiuliza maswali magumu. Je ni kweli sisi Tanzania tumeathirika sana na corona ukilinganisha na nchi ambazo zimewachanja raia wake?Huwezi kupata jibu, sanasana naona wapinzani wanafurahia chanjo eti kwa kuwa wanamkomoa Magufuli.
Athari.Ujinga mwingine huhitaji PhD ili kujua tofauti . Tanzania hakuna adhali full stop.
Vingine wachomane wenyewe kwa wenyewe ili roho zao zifurahi.