Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Tatizo la kudandia basi Kwa mbele


Kwa mujibu wa uislamu, ikitokea watu wote katika mji hakuna mtaalamu wa jambo fulani muhimu basi watu wanapata dhambi Kwa kutosomea jambo hilo muhimu

Google maana ya faradhi kifaya
Hawezi kuelewa Hilo jikafiri...

Kwanza anatakiwa uislam ndiyo dini pakee ambayo inaenda na wakati,huku Kuna mfumo complete wa maisha,Kuna Islamic law...tuna Islamic banking,watueleze Iko wapi Christianity banking?...

Wao riba Ruksa, Ushoga Ruksa...Wana kipi Cha mwiko kwenye hiyo dini yao
 
Zbar hapo wamejazana waislam ila ushoga umeshamiri sana mpaka mashoga mengine yanakosa adabu yanafirana kwenye vituko vya polisi

It doesn't justify anything hata iwe kweli au uwongo,na wewe mwenyewe moyoni mwako unajua Hilo...

Kwa sababu hoja hapa siyo nani anafanya Nini,hoja ni dini inasema Nini kuhusu tendo flani,mfano suala la zinaa usilam una sheria Kali za viboko mia Kwa mzinifu wa kike ma WA kiume,na kama wakiwa kwenye ndoa basi ni kupigwa mawe hadi kufa,Sasa sembuse dhambi ya ushoga?

Contrary to ukristo PAPA anatoa Ruksa ya nyinyi makafiri kuoana kabisa na anabariki,Sasa unaongelea kitu Gani Kafiri??
 
Mbona Zbar na mikoa ya pwani ndio inaongoza kwenye mambo hayo ya laana?!
Ina maana hawasomi uislam
 
Dah, pole sana.

Hivi hadi sasa hivi hujamuelewa MWANA ileje ni mtu wa aina gani pamoja na kukusisitizia mara kadhaa

Huoni kama unauthibitishia umma kwamba unapata taabu kuelewa. Chukua muda soma reply zake amesema yeye ana taratibu zake za kiasili. Hana hizo dini mnazobishania hapa

Na kingine; usione sifa kutamka kila mara fulani anantia HASIRA (hasa kwa mambo ya kiimani) maana hasira hukaa vifuani mwa watu ambao uelewa wao ni wa taabusana almost zero.
 
Wazungu na waarabu wote walewale huwezi kutenganisha. Wote waliwaleteeni dini zao mnawaabudu miungu Yao masanamu Yao na mawe Yao. Katika orodha zote hakuna nabii mwafrika huo si utumwa tu huo si yensu Wala muhamad wote waarabu na wazungu ndugu Toka kwenye huo utumwa rudin afrika kwa wangindo wangoni waha n.k huko ndo chimbuko la dini zenu.
 
Hah
Hahaha mmeanza kunyesha mikono pambafu nyinyi Mimi mkiniambia niwaonyeshe chimbuko la dini yangu so easy nakupeleka tu huko bariadi kwetu kwenye matambiko na makaburi sasa wewe asili ya dini Yako adi uende huko ulaya na ualabuni ndo ukaisake asili ya dini za mchongo na huko utaishia kubaguliwa tu.
 
Mbona Zbar na mikoa ya pwani ndio inaongoza kwenye mambo hayo ya laana?!
Ina maana hawasomi uislam
Ushahidi uko wapi Kwa takwimu??

Besides hata huko Zanzibar makanisa yapo na wakrsito wapo,who knows may be ni hao wagalatia wenzako wamekuwa ndiyo wazee wa Sodomy??
 
Wewe kafiri tuh kama walivyo makafiri wengine
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂mwafrica unaikana Imani Yako unaenda ulaya na Asia huko wenye dini zao wanakubagueni kama mi mbwa tu......bro rud ukatambike milima ya uparen kwenu huko au songea huko waache hao weupe na tamaduni zao chafu ndugu au unataka na wewe uwe shoga? Siajabu tiari mana unavyowatetea hao mabwana zako duh!
 
Tatizo la kudandia basi Kwa mbele


Kwa mujibu wa uislamu, ikitokea watu wote katika mji hakuna mtaalamu wa jambo fulani muhimu basi watu wanapata dhambi Kwa kutosomea jambo hilo muhimu

Google maana ya faradhi kifaya
Muone huyu mwingine Tena anawaponda makafiri wazungu na Bado anaendeshwa kwa Google zao sasa msukuma kama Mimi faradhi kifaya ya nini Mimi. Lugha ya waarabu mi itanisaidia nini eti faradhi kifaya jaman utumbo mtupu we liafrica jitambue wacha utumwa kwa wazungu na waarabu watakulamba k hyo shauri Yako
 
Kuita watu makafiri na kujifanyafanya unajua sana ni dalili ya 'inferiority complex'. Unajitutumua tu lakini kiuhalisia hakuna kitu.
 
Waislamu wengi dini unakuta mtoto wa kike kafaulu vizuri tu lakini kashaamriwa utaolewa na utakaa ndani tu especially arabic races
 
JF imekua ya hovyo, watu badala ya kudiscuss mada wameanza vita za wao kwa wao kisa tu dini fulani imeguswa[emoji3].

Ama kweli wakolon waliiweza afrika kuitawala na kuwagawanya kupitia huo upuuzi mnaokalilishana ktk dini zenu.

Back to topic, Dini ni moja ya kikwazo cha kudumisha ufanyaji kazi wa akili kwa kuifanya kuwa tegemezi ama kuilaza akili kwa kutegemea mambo ambayo kiuhalisia hayawezi kutendeka.

Kuacha kufanya kazi kwa kutegemea miujiza ni ujinga na ukosefu wa akili,

Kupoteza muda makanisan/misikitin badala ya kufanya kazi ni matumizi mabaya ya akili.

Kufunga duka/kuondoka kazini kisa unawai ibada/swala huo ni upumbavu.

Kutoa mali yako uliyotafuta kwa taabu eti unatoa sadaka huo ni upumbavu.

Kumkalilisha mtoto mafundisho ya dini zaidi ya elimu ya darasani huo ni upumbavu.

Kuamini kuwa jamii fulani ambayo ilikuletea dini kuwa ni bora zaidi huo ni ujinga.

Kuamini kwamba bila jamii fulan kukuletea dini kwamba usingemjua Muumba huo nao ni upuuzi.

Kiufupi Afrika kikwazo kikuu cha maendeleo ni dini, dini ndio chanzo cha umasikini,ufukara,mitengano, na ujinga ni hizo takataka ziitwazo dini, dini zimepumbaza wengi kwa kuwafanya wasitumie akili bali watumie hisia.

Maeneo mengi yakaliwayo na wafia dini huko ndiko kuna matukio ya hovyo sana, mfano ubakaji,ulawiti,ushoga,mauwaji, imani za kishenzi, ubaguzi, umasikini&ufukara, haya yote yamesababishwa na hizo dini.

Watangulizi wa hii nchi walijitahid sana kupambana na huo ushenzi wa hizi dini kujipa uhalali wa utawala, ama sivyo hii nchi isingekalika kwa vurugu.

Hata hawa washenzi wachache wanaochochea mivutano ya udini wanatakiwa kudhibitiwa haraka sana.

Dini ni upumbavu.
 
ni kweli, vijana wengi wala ndumu ni wa dini hiyo. Hawana maadili na hofu ya mungu wao licha kuanza kufundishwa mapema kumjua mungu wao lakini haisaidi kutunza maadili ya mafundisho yao
 
mnakuwa wajinga kudhani wakristo wote wametundika huo mfano makanisani mwao. By the way hata hao walioweka hayo masanamu hawayaabudu kama mungu wa kwale ni nadharia tu kwa mfanowe/picha
 
Kati ya dini kuu mbili kuna moja imefanya wanaoiamini waerevuke zaidi ya wengine wasioamini na nyingine imefanya wanaoiamini wapumbazike zaidi ya wengine. Akili yako inategemea umezaliwa na wazazi wa upande upi. Ni bora uachane na upande mbovu hata kama umelelewa na kukulia unaweza kubadili muelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…