THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Hawezi kuelewa Hilo jikafiri...Tatizo la kudandia basi Kwa mbele
Kwa mujibu wa uislamu, ikitokea watu wote katika mji hakuna mtaalamu wa jambo fulani muhimu basi watu wanapata dhambi Kwa kutosomea jambo hilo muhimu
Google maana ya faradhi kifaya
Kwanza anatakiwa uislam ndiyo dini pakee ambayo inaenda na wakati,huku Kuna mfumo complete wa maisha,Kuna Islamic law...tuna Islamic banking,watueleze Iko wapi Christianity banking?...
Wao riba Ruksa, Ushoga Ruksa...Wana kipi Cha mwiko kwenye hiyo dini yao