Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

labda sijalielwa vizuri kama ni maendeleo chini is still a developing country, kwenye wto world trade organization china iko classified as developing country kama vile tanzagiza tu, kundi moja …
Unaongoea usivyovijua.

Wakati wa Magufuli, enzi za Vitambulisho vya Umachinga, Wapo watu ambao walikuwa ni wafanyabisahara wakubwa, lakini walikuwa wakinunua hizo ID na Kuzitumia. Why? Sababu ya manufaa ya kikodi unapoitwa Machinga.

Ndicho anachokifanya China hivi sasa. China anafanya kusudi kuendelea kujiclassify hivyo kwa sababu anapata unafuu wa kikodi kwenye WTO na hivyo bidhaa zake zinaendelea kuwa chini. Yapo maeneo ya chini bado yana umasikini [about 30% ya watu wake], na hafanyi jitihada za dhati kuwaendeleza ili aendelee kuitumia takwimu kumantains hiyo DEVELOPING ECONOMY STATUS. So, kimsingi China ni Developing Country at her discretion. HYBRID.
 
Kuna mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema kuwa Mtoto akianza kusoma yale maandishi yanayoanzia kulia kwenda kushoto anapungukiwa na Akili ingawa sina uhakika Sana
Tatizo mojawapo linaanzia hapo mtoto anachanganyikiwa madrasa anafundishwa kuandkika kutoka kushoto kwenda kulia shuleni anafundishwa kuandika kutoka kushoto kwenda kulia .Kichwa Cha mtoto kuyabeba Kwa umri wao inakuwa ngumu Tena madrasa anacharazwa viboko hasa kuwa lazima ajue na akariri Kurani huku masomo Elimu Dunia yanamsubiri ndipo hapo hukosa balance ya kichwa na kuamua ku concentrate Elimu ya dini anakojarazwa viboko na kulegea shuleni ambako viboko marufuku wKakati kwenye Ukristo agenda moja kuandika kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia chekecheea Hadi chuo kikuu
 
Wewe ulisoma Madrasa?
 
Sio kweli.

Wachina, wajapan,wakorea maandishi yanaanzia tofauti pia. Sio waarabu tu...
Ni sahihi lakini Wana Elimu Yao inatumia maandishi hayo Toka chekecheea Hadi chuo kikuu Hadi PhD wanasoma Kwa Lugha ya kikorea ,kichina,kijapan

Waarabu na Waislamu hawana Hilo wakisoma wNakutana na opposite madrasa wanasoma kujenga uwezo wa kukariri tu na kuandika kutoka kulia kwenda kushoto halafu wakiinggia Shule na vyuo vinakazia uelewa sio kukariri na maandishi yanatoka kushoto kwenda kulia hapo ndipo kichwa Cha mwislamu hupata moto na kuchanganyikiwa
 
Tunahitaji tafiti zitakazotoa njia ya kutatua changamoto zetu za kitaifa kama ukosefu wa umeme, mfumuko wa bei, ajira, afya, elimu, mazingira, nishati, teknolojia,Kilimo, uchumi n.k

Hayo ya Udini fanyeni nyie waumini mkitaka.
 
Tangu baada ya ww2, karibu 60% ya Mawaziri wakuu wote walioongoza Japan ni Wakristu (ni nane kwa ujumla). Mkristu wa mwisho kuwa waziri mkuu Japan alikuwa Shinzo Abe
Hoja yako bado hujaswma ni ipi, emu iseme tuokoe taifa letu
 
Hata kiarabu kina maandishi yake. Wanasoma kiarabu mpaka ,PhD
Pengine hujui!!!
 
Labda Quran na hadith zibadilishwe. Zile sura zote na hadith za kutaka kuua wayahudi zibadilishwe ndipo wataelewana
Hakuna aya wala hadithi inayotaka wauwawe waisraeli ! Labda Mjerumani Hitler ndio alikuwa na mawazo hayo !
Wapalestina wanataka Ardhi yao iliyoporwa wanavyosema tangu lilipoanzishwa Taifa la Israel mwaka 1948 ,
 
Katika Circle yangu Waislamu niliona wako vizuri upstairs na wakuamini Ni wale Wasioenda Msikitini..

Potelea Kote bana, Nishambulieni.
 
Nchi maskini kuliko zote africa na duniani ni Burundi kaangalie majority ni dini gani?

Nchi yenye watu weny IQ ndogo kabisa Africa ni liberia ina wagalatia 83% ...😅😅😅sasa kaangalie Top ten ya weny IQ kubwa nchi zeny dominance ya wagalatia ni ngapi?
 
Mwanzilishi wa dini alikua hajui kusoma wala kuandika,alioa mtoto wa miaka 6 wakati yeye akiwa na miaka 54 na akamla akiwa na miaka 9. Alimpora mke mtoto wake wa kufikia na ili kuua soo akashushiwa verse ya kuzuia adoption ya watoto,huyu ndiye mfano wa kuigwa kwa watu wake.
 
Aisee wewe mbuzi imenidi nikutolee uvivu na huu upumbavu wa kudanganya bila hata aibu
Wewe mbuzi mweusi leo hii una rafiki wa kisaudia, nyani wahedi
Yaani mwarabu wa kisaudia bora hata ungesema waarabu choka mbaya hata kudanganya hujui, mbuzi kabisa
Halafu ukute, ni mbuzi fulani iko vijijini, kila siku ni stori za nilifika hii nchi mara nilikwenda huku
Shenzi taipu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…