Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Yes China is still developing, you can't compare with JapanChizi hili ,eti developing country!? Too brainwashed labda kama huelewi developing country maana yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes China is still developing, you can't compare with JapanChizi hili ,eti developing country!? Too brainwashed labda kama huelewi developing country maana yake...
Ungekuwa unahoju usingekuwa mkristo? Wakristo 90% ni wajinga kwa vile wanaabudu sana walilichonga
Wakrsito hiyo asilimia 63 muitoe wapi wewe muimba kwaya??Pascal, kwanza huyo Mohamed Said ni mwongo. Sijui hizo takwimu ameziokota wapi.
Ebu tusaidie, hizo takwimu alikuwa anaongelea kitaifa au ni eneo fulani dogo?
Kama ni kitaifa, huyo Mohamed Said ni mwongo mkubwa. Mgawanyo wa population kwa mgawanyo wa dini kwa Tanzania kwa projections zinazotokana na sensa za huko nyuma ambapo dini ilikuwa ni sehemu ya taarifa ya sensa:
Wakristo 63%
Waislam 34%
Dini za asili na nyinginezo ni 3%
Sasa kama mtawanyiko kidini upo hivyo, itawezekana vipi hao walio zaidi ya 60% wawe na watoto 29% kwenye shule. Na wale 34% wawe na watoto 71% shuleni?
Msingi wa kupima IQ umejengeka kwenye nini ? Hapa ndipo nataka kujua.Wakoloni walishafanya utafiti wa IQ ya makabila yote nchi nzima ya Tanganyika kabla ya uhuru. Walikuwa wakitafuta watu wa kufanya nao kazi. Ninachofahamu, Morogoro ilipata the lowest score, na huko ndiko anatoka Chief Mangungo wa Msowero, mengine utajazia kulingana na mada, though najua huko, jamii ile ina waumini wa dini ile kwa wingi, na wana ukaribu mkubwa na mikoa ya Pwani na Dsm ambako dini ile pia imetamalaki.
Kijana wa mudi ushavaa makubasi sasa [emoji23] [emoji23]Mkuu makafiri ndiyo wanalilostisha sana Taifa hili believe me..
Nchi hii waislam wako mbele toka zama na zama,na hata kwenye harakati za mapambano ya uhuru umesema kweli kbs,hao Kina ALISONGEA MBANO,Mtwa mkwawa, Abushir bin Salim,na wengine wengi ni waislam, mwambie akutajie zee la kikafir hata Moja ambalo limeshiriki katika harakati wao wanamjua Nyerere tuh,teh teh teh
Ok kwa hiyo raisi hayuko repsonsible na kuvurunda kwa wateule wake? Kwa mtazamo kama huo labda ndiyo maana watu hata wana question kama kuna uhusiano kati ya dini na IQ, isitoshe kuna haja gani ya kufanya hata uchaguzi kama huwezi kumholld raisi responsible nchi inapokwama kila mahali?
Awafanye Nini Sasa??
Makafiri mmekuwa makonki wa wizi ndani ya Taifa hili,na haijalishi Rais ni nani.
Kwani unaongea kitu Gani usichoeleewa mgalatia??
Hoja iliyopo hapa ni kujitapa kwenu kuwa wasomi nchi hii ni nyinyi,eti nyinyi ndie wenhe IQ kubwa na elimu
Tukiwauliza elimu yenu faida yake Nini mbona Haina tija?
Mfano Tanesco mmejazana kama mmefungua kigango Cha Kanisa,kazi kuiba na kuzima umeme tuh,akili hizo mzitoe wapi makafiri??
Toka enzi ya Nyerere nyinyi wasomi ni wizi tuh hadi sasa Samia ni Rais Bado nyinyi ni vibaka tuh,hakuna la maana mnalojua
Mimi inanibidi nicheke zangu tuh, kafiri anachukua sanamu la Jesus Christ la kizungu na kuliabudu na kuliita Mungu,Kisha anajiona ana IQ kubwa na mwenye akili kuliko sisi watu wa Iman zingine...Kijana wa mudi ushavaa makubasi sasa [emoji23] [emoji23]
papa sio kiongozi wa wakristo, yule ni kiongozi wa wakatoliki na wakristo hawamtambui na hawafuati maagizo yao. Halafu kuongeza au kupunguza neno kwenye biblia imeandikwa atakayefanya hivyo atapata mapigo. Hizo version za biblia ni matoleo tu ya uchapishaji kutokana na uhitaji wa miaka hadi miaka fulani biblia huchapishwa kwa wingi. Hakuna amendment hapo. Ukiona biblia imeandikwa tafsiri ya kupotosha hiyo hutupiliwa mbali haisomwi. Hebu nyie waislam jikiteni kwenye hojaHapo ndipo makafiri mnapoonesha jinsi mlivyo wapumbavu,unasema ukristo ni Imani ambayo mko huru Kwa fikra??
Well,kumbe ndiyo maana PAPA amewapa freedom ya kufunga ndoa za mashoga??
Ukristo ndiyo dini pekee ambayo kitabu Cha Mungu mmekuwa mnakifanyia version mbali mbali ili kiweze kutimiza matakwa yenu,yet eti unatamba kuwa ndiyo Iman ambayo Iko huru,Iman Gani inambana kiongozi wa dini rijali kabisa eti asioe Wala kuolewa,yaani aende against nature,hiyo Imani au maigizo??
Hapo ndo uwashangae makafiri wenzako waliojazana HAPO Tanesco...lkn umeme uliwaka kwa miaka 5 kutoka 2015-2021 mfululizo bila ya shida yoyote hata maji yalitoka 2015-2021 lkn alipongia raisi mpya ndani ya miezi 3 wakazima umeme na maji wakakata, why ? bado raisi hahusiki tu?
Brother hasira zote hizi za nini? Yaani hii mada imekutoa povu kiasi hiki? Aisee unaishi vizuri na majirani zako kweli? Maana Kwa jazba za Aina hii ni hatari sanaAwafanye Nini Sasa??
Makafiri mmekuwa makonki wa wizi ndani ya Taifa hili,na haijalishi Rais ni nani.
Kwani unaongea kitu Gani usichoeleewa mgalatia??
Hoja iliyopo hapa ni kujitapa kwenu kuwa wasomi nchi hii ni nyinyi,eti nyinyi ndie wenhe IQ kubwa na elimu
Tukiwauliza elimu yenu faida yake Nini mbona Haina tija?
Mfano Tanesco mmejazana kama mmefungua kigango Cha Kanisa,kazi kuiba na kuzima umeme tuh,akili hizo mzitoe wapi makafiri??
Toka enzi ya Nyerere nyinyi wasomi ni wizi tuh hadi sasa Samia ni Rais Bado nyinyi ni vibaka tuh,hakuna la maana mnalojua
PAPA siyo kiongozi wa kikristo Leo ndiyo mnampinga??papa sio kiongozi wa wakristo, yule ni kiongozi wa wakatoliki na wakristo hawamtambui na hawafuati maagizo yao. Halafu kuongeza au kupunguza neno kwenye biblia imeandikwa atakayefanya hivyo atapata mapigo. Hizo version za biblia ni matoleo tu ya uchapishaji kutokana na uhitaji wa miaka hadi miaka fulani biblia huchapishwa kwa wingi. Hakuna amendment hapo. Ukiona biblia imeandikwa tafsiri ya kupotosha hiyo hutupiliwa mbali haisomwi. Hebu nyie waislam jikiteni kwenye hoja
Ukitaka tuseme Nini Sasa, makafiri wenzako wanaongea kunya na kashfa tuwachekee??Brother hasira zote hizi za nini? Yaani hii mada imekutoa povu kiasi hiki? Aisee unaishi vizuri na majirani zako kweli? Maana Kwa jazba za Aina hii ni hatari sana
Wanabodi,
Kuna msemo wa kizungu usemao, "numbers don't lie" yaani numbers, haziongopi!.
Japo mimi nilipokuwa primary School nilikuwa mzuri wa hesabu, sekondari nikakutana na Additional mathematics, nilikuwa mzuri wa algebra, ila nilipoamua kufanya HGL A-Level, somo la hesabu nilipata C, sambamba na Chemistry, Physics, na Biology, zote nilipiga C!, lakini naomba kukiri, japo mimi sio mzuri kivile kwenye takwimu, lakini mtu akileta mada na kuivisha data za kimaghumashi, nina uwezo wa kubaini!.
Huko nyuma, tuliwahi kupishana na Mkuu Maalim Mohamed Said kwenye takwimu zake za idadi ya Wabunge Wakristo na Waislamu, yeye alisema mimi nikasema ni urongo!. Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!.
Ubishi huo ulianzia huku Mohamed Said: TANU kilikuwa chama cha Kiislam, hili hakuna mtu anayeweza kulipinga
Baada ya kumpinga with data estimates, ile video ya urongo, iliondolewe kule YouTube!.
Sasa angalia takwimu hizi za matokeo ya mtihani wa darasa la 7 kwa mujibu wa Mkuu Maalim Mohamed Said
Kwenye takwimu hizi nauliza jee ni kweli Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71% ni Waislamu na dini nyingine zote ni asilimia 29%?. Hizi data za asilimia za idadi ya watu wa dini fulani, zinapatikaje?, naomba mtu asiibuke na kuniambia wametumia majina!.
Katika hiyo asilimia 71 % ya Waislamu waliofanya mtihani huo wa darasa la 7, waliofaulu kwenda sekondari ni asilimia 21% tuu, hii maana yake kati ya Waislamu waliofanya mtihani wa darasa la 7, waliopasi kwenda sekondari ni asilimia 21% ya wale asilimia 71% Waislamu, na kati ya wale Wakristu asilimia 29% waliopasi kuingia sekondari ni asilimia 79%. Hii ni kweli?!.
Kama hizi data za Maalim Mohamed Said ni data za kweli, then kuna shida mahali!, kuna tatizo!, linalohitaji critical analysis kulibaini na kulitatua!.
Niliwahi kuuliza humu Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling
Nikauliza tena Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Na nikauliza Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Nashauri tufanye utafiti wa Idadi ya Waislamu na Wakristu kwenye maeneo yafuatayo
1. Kiwango cha umasikini kati ya Wakristo na Waislamu
2. Idadi ya wafanyabiashara
3. Idadi ya matajiri
4. Ufaulu wa darasa la saba
5. Ufaulu wa kidato cha 4
6. Udahili elimu ya juu
7. Asilimia kwenye astashahada
8. Stashahada
9. Shahada
10. Shahada za uzamili
11. Shahada za uzamivu
12. Idadi wafungwa, mahabusu na uhalifu.
13. Idadi ya jobless
14. Idadi ya wale dada zetu wanaofanya ile biashara ya usiku ya kuuza naniliu
15. Idadi ya wife materials na husbands material
16. Idadi ya kuoa na kuolewa
17. Utulivu kwenye ndoa
18. Broken homes
19. Single mothers
20. Wanaume wanaotekeza watoto.
Matokeo ya tafiti hizi, japo yata surprise wengi, lakini hizo data zitatusaidia kubaini kuwa tuna tatizo, hivyo tuanze kuchukua hatua kulitatua, vinginevyo, wachochezi wa udini, watakuwa wanaendelea kutulisha matango pori kuwa kuna dini wanapendelewa na kuna dini wanabaguliwa, kumbe the actual fact ni kuna wenzetu wanashida, wana matatizo, wanahitaji msaada na tuwasaidie, tusaidiane!.
Paskali
Teh teh teh...Kuna jamii ya kupigwa pesa kijinga kama wapakwa mafuta, watu wachache wanakuwa matajiri kwa ujinga wa wapakwa mafuta
Jidanganye rudi ... Totally brainwashed no factual you can prove tha china is a developing country ...China is on the brink of surpassing your fucking super power.Yes China is still developing, you can't compare with Japan