Nafikiri tusichukulie kipimo cha kufaulu mtihami wa darasani kama kigezo pekee cha kuwa na IQ kubwa
Kufanya hivyo ni kupima IQ kwa kutumia uwezo wa watu wa kukariri. Anaye jua ku kariri zaidi ndiye anaonekana ana akili zaidi
Umewahi kujiuliza wenye IQ kubwa kwenye ubunifu wapo kundi gani?
Mfano:
- Kuna wanamuziki/maigizo/sanaa
- Wood work
- Drawings/paintings
- Mechanics (wapo wakisikiliza tu ngurumo ya gari wanakuambia shida zake zote)
- Wale watu wa pwani kwa mfano wana vipaji vingi tofauti hasa michezo... kwa bahati mbaya havitambuliki
- nk nk nk
Kama unafikiri kuimba ni rahisi, chukua professor umshindanishe kuimba na Diamond