Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Wakrsito hiyo asilimia 63 muitoe wapi wewe muimba kwaya??

Muislam mmoja anaruhisiwa kuoa hadi wake wanne, mgalatia mke mmoja tuh mtihan,logic ya kawaida tuh uwezo wa kuzaliana hivyo muutoe wapi?
 
Msingi wa kupima IQ umejengeka kwenye nini ? Hapa ndipo nataka kujua.

IQ inapimwa akili au nini ?
 
Kijana wa mudi ushavaa makubasi sasa [emoji23] [emoji23]
 
Natumaini ni suala la muda tu waislam dunia nzima wataachana na uislam uliowapumbaza kwa karne nyingi. Sasa wameanza kuwa moderate/modern, wanaanza kuutambua ukweli na kuachana na kongwa zito lilowazubaisha muda mrefu
 

Awafanye Nini Sasa??

Makafiri mmekuwa makonki wa wizi ndani ya Taifa hili,na haijalishi Rais ni nani.

Kwani unaongea kitu Gani usichoeleewa mgalatia??

Hoja iliyopo hapa ni kujitapa kwenu kuwa wasomi nchi hii ni nyinyi,eti nyinyi ndie wenhe IQ kubwa na elimu

Tukiwauliza elimu yenu faida yake Nini mbona Haina tija?

Mfano Tanesco mmejazana kama mmefungua kigango Cha Kanisa,kazi kuiba na kuzima umeme tuh,akili hizo mzitoe wapi makafiri??

Toka enzi ya Nyerere nyinyi wasomi ni wizi tuh hadi sasa Samia ni Rais Bado nyinyi ni vibaka tuh,hakuna la maana mnalojua
 
Mabishano haya yalipelekea mpaka kutuhumu NECTA kuwa wanapendelea wakristo na Shule zao za kikristo kwa kuwa imekuwa ikiongozwa na Watendaji Wakristo. Sasa wameweka Mwislam lakini mbona mambo tena yanakuwa hovyo kabisa
Katika orodha ya shule 50 zilizofanya vizuri matokeo kidato cha 4 yaliyotangazwa juzi ndiyo sote tutashangazwa. Hivyo ninakubaliana kwamba yale maandishi yanayosomwa kulia kwenda kushoto huenda yana Shida katika ubongo wa watoto. Na kuanzia sasa waache kabisa kupambana na Wakristo kielimu maana hawatawaweza. Wao ni technocrats na wao waendelee kuwa wafanyabiashara na wanaweza.
 

lkn umeme uliwaka kwa miaka 5 kutoka 2015-2021 mfululizo bila ya shida yoyote hata maji yalitoka 2015-2021 lkn alipongia raisi mpya ndani ya miezi 3 wakazima umeme na maji wakakata, why ? bado raisi hahusiki tu?
 
papa sio kiongozi wa wakristo, yule ni kiongozi wa wakatoliki na wakristo hawamtambui na hawafuati maagizo yao. Halafu kuongeza au kupunguza neno kwenye biblia imeandikwa atakayefanya hivyo atapata mapigo. Hizo version za biblia ni matoleo tu ya uchapishaji kutokana na uhitaji wa miaka hadi miaka fulani biblia huchapishwa kwa wingi. Hakuna amendment hapo. Ukiona biblia imeandikwa tafsiri ya kupotosha hiyo hutupiliwa mbali haisomwi. Hebu nyie waislam jikiteni kwenye hoja
 
lkn umeme uliwaka kwa miaka 5 kutoka 2015-2021 mfululizo bila ya shida yoyote hata maji yalitoka 2015-2021 lkn alipongia raisi mpya ndani ya miezi 3 wakazima umeme na maji wakakata, why ? bado raisi hahusiki tu?
Hapo ndo uwashangae makafiri wenzako waliojazana HAPO Tanesco...

Si mlikuwa mnasema Makamba mwizi MTU wa Dili??Mama Kamtoa kamweka.kafiri mwenzenu na haitoshi kampa hadi unaibu waziri Mkuu kabisa,je kiko wapi?

Ndiyo Kwanza wamezidisha wizi tuh,unadhani Rais anaweza wapa amri ya wao kuzima umeme??

Ili yeye kama president afaidike na Nini??

Shida ni watendaji,na watendaji wenyewe ni hao makafiri wenzako,vibaka
 
Brother hasira zote hizi za nini? Yaani hii mada imekutoa povu kiasi hiki? Aisee unaishi vizuri na majirani zako kweli? Maana Kwa jazba za Aina hii ni hatari sana
 
PAPA siyo kiongozi wa kikristo Leo ndiyo mnampinga??

Wewe Hilo kanisa umelitia wapi mvomero au ngaramtoni??

Huyo ni kiongozi wenu,mnae huyoo...na Hilo la ushoga ni amri lazima mtekeleze...

Unakataa versions Sasa siyo,agano jipya na agano la kale yaliyoandikwa yanafanana??

Makafiri amkeni na mtambue ukweli before it's too late
 
Brother hasira zote hizi za nini? Yaani hii mada imekutoa povu kiasi hiki? Aisee unaishi vizuri na majirani zako kweli? Maana Kwa jazba za Aina hii ni hatari sana
Ukitaka tuseme Nini Sasa, makafiri wenzako wanaongea kunya na kashfa tuwachekee??

Sisi tunawaeleza lugha ambayo wao wataielewa vizuri ili akili iwakae sawa may be watapata ufaham,nchi hii imekuwa maskini Kwa miaka mingi sana lakin umaskini huu Kwa kias kikubwa unasabbishwa na wasomi wa kikafir waliojazana huko serikalini,wanachojua kikubwa ni wizi na ufisadi tuh
 

Nafikiri tusichukulie kipimo cha kufaulu mtihami wa darasani kama kigezo pekee cha kuwa na IQ kubwa
Kufanya hivyo ni kupima IQ kwa kutumia uwezo wa watu wa kukariri. Anaye jua ku kariri zaidi ndiye anaonekana ana akili zaidi
Umewahi kujiuliza wenye IQ kubwa kwenye ubunifu wapo kundi gani?
Mfano:
  1. Kuna wanamuziki/maigizo/sanaa
  2. Wood work
  3. Drawings/paintings
  4. Mechanics (wapo wakisikiliza tu ngurumo ya gari wanakuambia shida zake zote)
  5. Wale watu wa pwani kwa mfano wana vipaji vingi tofauti hasa michezo... kwa bahati mbaya havitambuliki
  6. nk nk nk
Kama unafikiri kuimba ni rahisi, chukua professor umshindanishe kuimba na Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…