Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?

Swali Hilo tuwaulize makafiri waliojazana hapo Tanesco kama kigango Cha kanisa, tuwaulize why wanazima umeme??upeo wao wa kazi umeishia wapi??kuiba fedha na juma pili kwenda kutoa sadaka makanisani??
We jamaa ni mpumbavu sana. Tena wale ambao wako tayari kuua Kwa kupigania mnachokiita dini. Huu ujinga wa kukata umeme ungewauliza maharage Kande na shoga yake Makamba jr nduguzo katika imani .
 
Sioni hoja hapo nachojua mimi Uislam umetamalaki pwani ya afrika mashariki ambapo jamii hizi zenyew kwanza hazina mwamko wa elimu plus baadhi ya mafundsho ya dini ya kizamani

Kakutane na waislamu wa kaskazini na kanda ya ziwa uone walivo conscious kichwani

mimi pia 100% najua mtoa mada hanikuti kwa hio IQ yake
 
Acha watu waabudu wanachoweza...kuna wengine hata imani yako wanaishangaa lakini haiwahusu so wanaendelea na shughuli zao
 
hapa kuna kitu nime gain
 
Natumaini ni suala la muda tu waislam dunia nzima wataachana na uislam uliowapumbaza kwa karne nyingi. Sasa wameanza kuwa moderate/modern, wanaanza kuutambua ukweli na kuachana na kongwa zito lilowazubaisha muda mrefu
Nilikuwa na marafiki zangu wawili Wasaudia, walikuwa wanalaani sana baadhi ya mambo ya uislam. Watoto wao wote waliwapeleka kusoma Canada wakidai kuwa wakiwapeleka nchi za kiarabu watafundishwa ujinga.

Wakati wa joto kali, walikuwa wanaenda kujivinjari US au Canada, wakidai huko ndiko unaweza mtu kufurahia maisha siyo nchi za Kiarabu.

Kama ni msafiri mzuri, ukipanda Emirates, wale mabinti, tena wale wa kiarabu, ni completely European kuanzia fikra zao mpaka mavazi yao. Ila wakiwa wanatoka pale Dubai, utawaonea huruma wanavyolazimika kwenda kubadilisha mavazi ili angalao wafanane na mabinti wa kiarabu, wenzao.

Hali hiyo imeanza hata hapo Zanzibar kwenye yale mahoteli ya wazungu. Mabinti wa kizanzibari wanapotoka nyumbani unakuta wamejivika mababui na mitandio, wakifika maeneo ya hotel, wanachojoa hayo manguo yote, na wengine wanapiga mini ambazo hata huku bara ni nadra kuziona.
 
Economic system ya china ni socialism ambayo ni karl marx myahudi aliyezaliwa ujerumani alianzisha kupitia kijarida chake kinachoitwa das capitalism

Kuna mambo mengi sana hujui
Socialism ipo mashariki sio magharibi.

Kwanza Socialism has nothing to do na asili ya Karl Marx.

Nimekuuliza kuhusu nchi umeshindwa kutaja sijui nani kati yetu ajifunze ?!.

Unataka tuanze kufundishana hapa masuala ya communism, socialism, Capitalism, The communist manifesto, The wealth of nations, mambo ya kina Adam Smith, Karl Marx, Market economy, Planned economy na mengine mengi hivi ndio vitu unataka kujua mtu fulani anajua.

Turudi kwenye swali nililo kuuliza
 

Dini haiwezi kubadilisha IQ au akili ya mtu, bali mazingira ambayo mtu hukulia yana uwezo wa kufifisha uwezo wa akili kufanya kazi. Mtoto anayeulizwa maendeleo yake ya shule kila siku, anasaidiwa kimasomo kuanzia shuleni mpaka nyumbani, kuna uwezekano wa kukazania sana masomo, kuliko mtoto ambaye anarudi anasikia wazazi wanaongelea ngoma au biashara ya nyanya. Naye atajitahidi kuonesha ni mahiri katika yale yanayoonekana yana uzito pale nyumbani.
 
lkn umeme uliwaka kwa miaka 5 kutoka 2015-2021 mfululizo bila ya shida yoyote hata maji yalitoka 2015-2021 lkn alipongia raisi mpya ndani ya miezi 3 wakazima umeme na maji wakakata, why ? bado raisi hahusiki tu?
Huyo mpumbavu ana IQ ndogo.
 
Socialism has nothing to do with karl marx
Hii statement imeonyesha jinsi gani una-upeo mdogo sana
Ugeruman mashariki ilikua inchi ya kisocialism, hata spain serekali iliyopo ni ya kisocialism

Hata china socialism ipo tu kwenye siasa laki sio kwenye uchumi sababu kuna mabillionnaire

Mifumo yote ya kiutawala imetoka western upende au usipende kijana wa madrasa
 
Mbona Diamond yeye Sio Profesa. Akili darasani hakuwa nazo!? Usifananishe vituo visivyoendana.
 
Ndio.

Dini ni mojawapo ya vitu vinavyodetermine IQ ya mtu.

Vingine ni mila na tamaduni, lishe, mifumo ya elimu n.k
 
Bwana Pascal, unahitaji kutuliza kichwa sana na kufanya uchunguzi wa kina bila chembe ya ushabiki, utaupata ukweli katika hili.

Ninachoweza kusema kwasasa, Roman Catholic pale Vatican inaweza kuwa Moja ya taasisi kubwa inayoujua ukweli wa hili.
 
Kuna dini fulani, imeumbwa kwa uongo. Watu wake wanapenda kuonesha wameonewa. Wawe Sudan, Somalia, Nigeria, Yemen n.k. Ni kama dini ya kinyonge, ila inataka kuwafanya waumini wake kuwa jasiri hata kwa yale mambo ya uongo.
 
Bado nasisitiza kafiri baba Yako na mama Yako waliokacha imani za wazazi wao na kufuata imani ya muarabu .
 
Hivi unaelewa hata maana ya mashariki na magharibi au unajiandikia tu kama mwehu

Wee jamaa sidhani hata unafahamu hata unacho andika humu au unajiandikia tu
 
Hivi hii chuki uliyokua nayo unarafiki mkristo kweli
Mbona una-chuki kali sana na wakristo yaani unataman tanzania iwe nchi ya kiislamu ila ndo hivyo haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…