Madrasa mtoto kwa mujibu wa koran
- Unafundishwa jua linajitosa kwenye maji , ukikuta swali la solar system utajibuje?
- Unafundishwa stage za mtoto kwenye Koran kuna stage anakuwa mifupa tupu, ukikuta swali la embryology utajibuje?
- Unafundishwa Allah alipachika milima juu ya dunia , ukiulizwa formation of mountains utajibuje?