Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

Kufanya biashara ukiwa na njaa NDO matokeo Yale, UNATUMA mzigo mkubwa namna hii BILA HATA malipo ya awali acha wateja WA aina hiyo uzianwateja wanaolipa HUWEZI kosa wateja wanaokuamini wakilipa watumie mzigo ni RAHISI sana mteja kughairi SABABU lapata alternative ya Bei NAFUU wewe UNATUMA gunia Tano uko wapi nikuongeze depression
 
Labda tujuzane dalili za Depression ni zipi?
Usikute tuliwahi kupatwa na depression pasipo kujua.
 
Tukio la rafiki yangu wa karibu kufariki,nilihisi kuwehuka
Pole sana mdogo wangu..
hichi ndiyo nachopitia kwa sasa, nimepoteza my very closest friend almost 5 months now kwa ajali, wamefariki kwa pamoja yeye na binti yake angekuwa first year sahii,

kinachoumiza ni kuwa watu wako wa karibu they expect you to move on, na wanashangaa kwanini bado una huzuni unaulizwa kwani ni mzazi wako..!?
 
Ulishawahi kufanya biashara ya dagaa?
 
Mwaka 2023 mmmh jaman achen wafanyabiashara vichwa viwake moto mim nilikua nafanya biashara ya viazi natoa shamba mbeya kule naleta mkoa niliopo eeh kama kawaida anayenisaidia kunitafutia usafiri kanitafutia usafiri Sasa ni ivi huwaga napenda kama kusafirisha nisafirishe na watu wengine tunachukuaga kontena Zima Sasa yule jamaa akanipakilia Kwa gar ya pekee nilikua naongea na dereva vizur mpaka alipokaribia kufika akazima simu Sasa yule naye sijui alikua amelewa akasahau kuchukua namba za gar na siku zote Huwa ananitumiaga namba za gar ukisikia kuteleza ndo huku
Tulijaribu kumtafutaa wwe nikachoka ila alinipa anguko la kimataifa 🙏
 
Usiwalipe kmmk washenzi sana hawanaga uvumilivu
 
Pole sana miss
 

Asante

Pole sis..
Msiba usikiwe tu kwa mwingine,mtu anaweza kuwa sio mzazi lakini akaumiza sana akifariki
 
Pole sana Mkuu.

Na wanatabia ya kuwaunganisha wote hao kwenye group moja whatsapp na kuanza kutuma details za mkopaji ikiwemo kitambulisho cha Nida na kuanza kukuita mwizi na tapeli.

Iliwahi kutokea kwa mtoto wa bro. Ilikuwa ni aibu mi nikaishia kuleft tu mana niliona kama ni ujinga wamefanya sababu muda wanakopeshana mi hata sikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…