Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?



Ina maana na hao viumbe wanaoishi humo ndani wamefanya siri kwamba dunia(yao) ina watu kwa nje??? au huwa wakijitokeza wanadunguliwa kama ilivyo mwanadamu akiendahuko antaktic anadungulia???
 
Unasema kweli kuwa, Marekani kukataa isingekuwa hoja endapo Nchi nyingine zingeridhia. La muhimu ni kuwa, baada ya teknolojia kukua sana after WW II, Nchi zote zilizokuwa juu kiteknolojia hadi miaka ya 1990s, zilikuwa za Wazungu pekee - Ulaya, North America & Australia, ukiacha Japan ambayo pamoja na Ujerumani ziliwekewa vikwazo kadhaa vya teknolojia za kijeshi na hivyo kuzifanya zisiwe interested na masuala ya kijeshi jeshi. So, ilikuwa ni rahisi Nchi hizo (OECDs), kuzisikiliza Marekani na Urusi. Uzoefu unaonyesha kuwa, baada ya Cuban Crisis in 1963, USA na USSR, zilijongeana zaidi katika kutatua mizozo, so it's likely kuwa, Idara zao za kiulinzi na kiusalama zilishirikiana kuficha ukweli for sake of humanity.
Ndiyo maana watu wengi duniani wana matumaini kuwa, China inaweza ikaweka wazi baadhi ya mambo ambayo yamekuwa siri duniani kwa kuwa, haikuwahi kuhusika na Siri za kipindi hicho.
 
Ina maana na hao viumbe wanaoishi humo ndani wamefanya siri kwamba dunia(yao) ina watu kwa nje??? au huwa wakijitokeza wanadunguliwa kama ilivyo mwanadamu akiendahuko antaktic anadungulia???
Inaelezwa kuwa, wana jua sisi ni primitive kiteknolojia so kuna possibility kubwa kuwa, huwa tunachangamana nao kila siku kimaisha kutokana na uwezo wao wa kujibadilisha. Indeed, wao wameendelea zaidi na wanapata kila kitu wanachotaka na hawahitaji vitu kutoka kwetu the way tunavyofikiria. Fikiria tu jinsi Mzungu anavyomdharau Mwafrika wakati ni binadamu mwenzake, Je leo kwa hao Aliens wanaojua fika kuwa sisi binadamu ni vilaza kulinganisha na wao?
Watu wengi mashuhuri wameyatolea ushuhuda masuala hayo na wengi wamekuri kuona vyombo vyao vya usafiri (UFOs).
 


Kuna wakati ukianza kufikiri mambo ndo unaweza kukubali juu juu, coz ukifikiri namna teknology inakuwa fasta, the way ilianza.... ukifikri mtu alianzisha capacitor, resistor... alifikiri nini hadi kujua kwamba madini fulani ukichanganya na fulani inakuwa diode......

inachanganya ingawa ukiangalia haraka haraka unapata majibu kwa logic
 
Mwaka 1913 Marshal Gardner alileta madai ya kwamba Dunia has an interior sun and can be explored via an opening in the arctic. Diary ambayo ilikuwa ni ya siri ambayo ilikuwa ni ya arctic explorer Richard Byrd ilionesha kuwa Richard aliifanikiwa kupata hiyo njia ya kuingia kwenye hiyo hollow ilikuwa ni mwaka 1947. Theorist wana claim kwamba Bwana Richard alilazimishwa akae kimya kuhusu hicho alichokigundua. Hii imebeba hiyo theory ya Dunia ina hollow, ina viumbe wanaishi ndani ya hollow na katikati ya tundu kuna Nyota Jua inayo support maisha ya hao viumbe.

Tuchukue kimoja katika hiyo theory inayosema kuna Jua, ninavyofahamu Mimi kwa uelewa wangu mdogo Corona ambalo ni tabaka LA nje la Jua. Lina joto linalofikia kiwango mpaka million 2-5 Fahrenheit degrees. Ok pengine ni kutokana na ukubwa wa jua lenyewe. Sayari ya Venus ambayo ni hottest planet in our solar system ina joto 463°. Tuchukulie umbali wa Sayari zilizo mbali na Jua na zilizokaribu na Jua. Kinachoonekana ni kwamba zitaathirika tena moja kwa moja. Zilizo mbali na Jua zitakuwa na joto dogo , zilizo karibu zitakuwa na joto kubwa tena lenye kuangamiza. Nukta yangu ni hii either Jua liwe karibu au mbali liwe kubwa au dogo kwa namna moja au nyengine tutaathirika nalo tu.

Suala uliloleta katika hollow ya Dunia kuna Jua. Its okay pengine ni dogo Ila kutokana na nishati ya Jua tutaathirika nalo tu. Kuna lava, right? Vipi kuhusu hilo, kuna mdau( Prof.) Amezungumzia kuhusu magnetic field na Electromagnetic ya Dunia, vipi kuhusu hilo nalo?

Sorry, kwa hili. Hii ni theory ni wrong.
 
Swali, hao viumbe walioko huko kwanini wasije kutembelea kwetu manake naona ni dhana tu wapo aliens lakini hakun aliyewaona kama usa wanavyoaminisha area 51
 
Swali, hao viumbe walioko huko kwanini wasije kutembelea kwetu manake naona ni dhana tu wapo aliens lakini hakun aliyewaona kama usa wanavyoaminisha area 51
Wewe ulishayaona majini? Unajua yanakoishi? Je, hujawahi kusikia shuhuda za uwepo wa makazi ya watu chini ya bahari?
Waulize wenye ujuzi wa mambo hayo ndugu yangu.
Mimi niliwahi kuambiwa huko kwetu na mtu mwenye heshima zake kuwa, wachawi huwa wana sherehe zao kubwa sana zinazokuwakusanya kutokana maeneo ya mbali kama tunavyofanya binadamu wa kawaida wakati wa mchana. Wanapokusanyika hufanya sherehe kubwa na wanachinja mifugo mingi na kula nyama. Lakini asubuhi hutaona traces zozote.
Sasa kama binadamu wenzetu tu tunaoishi na kucheza nao muda wote wana teknolojia ya kufanya mambo yao bila kuonekana, Je itakuwaje kwa viumbe (Aliens) ambao wanajua kuwa tukiwaona basi itakuwa ama zao ama zetu - lazima patachimbika sana.
 
Mkuu upo vizuri. Kwenye hiyo documentary kumejaa issues za aliens.

Kuna mambo ambayo hata wao wameshindwa kuyatolea ufafanuzi...

Ukifuatilia documentary za unexplained NASA files utabaki mdomo wazi...

Cc: mahondaw
 
hii unaweza kuifafanua zaidi? inaoinganaje na gravity?
 
inakinzanaje
 
inakinzanaje
Pamoja na Mr Prof hapo juu, tukianza na kukinzana nadhani unaelwewa kulikuwa na clasical physics hawa walikuwa na mitamo yao kuhusu wave, partiçles nk kwa kufanya experiment wakapata hizo facts, ila baadae ila baadae wakaja modern phyisics wakaprove zile facts za clasical kuwa ni wrong, hivyo basi hata hizi facts tunazoziamini leo inawezekana kizazi kijacho wakagungua ni wrong.
Nije kwenye ishu ya gravity, hatuwezi kumkwepa Newton kwa sababu hapo ndipo pa kuanzia. Mi nakubali ya kuwa gravity ipo ila nna mashaka na chanzo cha hiyo gravity na uhusiano wa gravity ya sayari moja na nyingine. Mimi kwa mtazamo wangu gravity chanzo chake ni ktk uso wa sayari au nyota na si ndani, tukitazama vyombo vikubwa kama magari, treni nk vinapo tembea vinatengeneza nguvu ya kuvuta particles mbali mbali nyuma ya gari hata wewe ukiwa karibu na gari inayotembea kasi utahisi huo mvuto, hivyo basi kwakuwa sayari na nyota zinazunguka kwa kasi ndio chanzo cha hiyo gravity na sababu ya kupungua toka uso wa dunia kwenda juu. Na pia atmoshphere inasababishwaa na mizunguko hiyo. Nitarudi
 
Mi nnaweza kukubaliana na hao wanaosema kuna holow katikati, kwa sababu wanasayansi wanatuambia dunia ina mhimiri ambao upo nyuzi 66.5, sasa huko kubetuka nyuzi hizo walichukua kielelezo gani, sio hilo tundu kweli? Tutafatari kwa kina.
 
duh kuhusu mvua vip maji wanatoa wapi au kwakua wapo chini basi huchimba kwenda juu wana anga gani kwa humo ndani ? Na wao huenda anga za mbali na wasionekane tetesi zingine zinafikilisha ......
 


Huko arctic inonyesha kun mambo san, watu wanaoyakua wanajaribu kitoa clue... sijaelewa muandishi wa movie ya tomb raider anajaribu kusema nn maana anamaliza movie kwa kuonesha ramani ya dunia ikiwa eneo la arctic limezungushiwa duara kisha anahusianisha na makampuni makubwa ya weapons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…