Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ndiyo, Hollow Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe na wewe ni mwanasayansi??![emoji23][emoji23][emoji23]Hawa NASA na Marekani kwa ujumla wana propaganda nyingi tu wazazoziendesha...
Wana mambo yao wenyewe wanayaita unexplained NASA files...
Cc: mahondaw
so hlo tundu mmh mbna lnanichanganya tuseme ndani ya dunia kuna makazi ya viumbe wengne imekua ni siri kwa baadhi ya watu lakini hizi tetesi wangekuepo tungesha waona si unajua dunia haina siri au ndo tushaanza kuelewa kidogokdgo laiki yote na yote ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe
Unasema kweli kuwa, Marekani kukataa isingekuwa hoja endapo Nchi nyingine zingeridhia. La muhimu ni kuwa, baada ya teknolojia kukua sana after WW II, Nchi zote zilizokuwa juu kiteknolojia hadi miaka ya 1990s, zilikuwa za Wazungu pekee - Ulaya, North America & Australia, ukiacha Japan ambayo pamoja na Ujerumani ziliwekewa vikwazo kadhaa vya teknolojia za kijeshi na hivyo kuzifanya zisiwe interested na masuala ya kijeshi jeshi. So, ilikuwa ni rahisi Nchi hizo (OECDs), kuzisikiliza Marekani na Urusi. Uzoefu unaonyesha kuwa, baada ya Cuban Crisis in 1963, USA na USSR, zilijongeana zaidi katika kutatua mizozo, so it's likely kuwa, Idara zao za kiulinzi na kiusalama zilishirikiana kuficha ukweli for sake of humanity.Unajua mkuu Uzi uliyouleta ni mgumu sana na unaumiza kichwa sana kwa sababu imebeba mambo matatu makubwa.
Mosi; Dunia yetu ina Hollow
Pili; kwamba kuna other world beneath our own.
Tatu; kuna Jua ndani ya Sayari Dunia
Hebu kwanza tuyajadili hayo ya juu yanawezekana?
Licha ya hivyo kuna mambo nayo yanaleta maswali ambayo hayana majibu. Umetolea mfano kwamba Marekani hilo eneo ameweka no fly zone, Vipi kuhusu china? Vipi kuhusu Russia? Kwa sababu hii ishu ina concern Dunia yetu. Why America?
Inaelezwa kuwa, wana jua sisi ni primitive kiteknolojia so kuna possibility kubwa kuwa, huwa tunachangamana nao kila siku kimaisha kutokana na uwezo wao wa kujibadilisha. Indeed, wao wameendelea zaidi na wanapata kila kitu wanachotaka na hawahitaji vitu kutoka kwetu the way tunavyofikiria. Fikiria tu jinsi Mzungu anavyomdharau Mwafrika wakati ni binadamu mwenzake, Je leo kwa hao Aliens wanaojua fika kuwa sisi binadamu ni vilaza kulinganisha na wao?Ina maana na hao viumbe wanaoishi humo ndani wamefanya siri kwamba dunia(yao) ina watu kwa nje??? au huwa wakijitokeza wanadunguliwa kama ilivyo mwanadamu akiendahuko antaktic anadungulia???
Inaelezwa kuwa, wana jua sisi ni primitive kiteknolojia so kuna possibility kubwa kuwa, huwa tunachangamana nao kila siku kimaisha kutokana na uwezo wao wa kujibadilisha. Indeed, wao wameendelea zaidi na wanapata kila kitu wanachotaka na hawahitaji vitu kutoka kwetu the way tunavyofikiria. Fikiria tu jinsi Mzungu anavyomdharau Mwafrika wakati ni binadamu mwenzake, Je leo kwa hao Aliens wanaojua fika kuwa sisi binadamu ni vilaza kulinganisha na wao?
Watu wengi mashuhuri wameyatolea ushuhuda masuala hayo na wengi wamekuri kuona vyombo vyao vya usafiri (UFOs).
Mwaka 1913 Marshal Gardner alileta madai ya kwamba Dunia has an interior sun and can be explored via an opening in the arctic. Diary ambayo ilikuwa ni ya siri ambayo ilikuwa ni ya arctic explorer Richard Byrd ilionesha kuwa Richard aliifanikiwa kupata hiyo njia ya kuingia kwenye hiyo hollow ilikuwa ni mwaka 1947. Theorist wana claim kwamba Bwana Richard alilazimishwa akae kimya kuhusu hicho alichokigundua. Hii imebeba hiyo theory ya Dunia ina hollow, ina viumbe wanaishi ndani ya hollow na katikati ya tundu kuna Nyota Jua inayo support maisha ya hao viumbe.Unasema kweli kuwa, Marekani kukataa isingekuwa hoja endapo Nchi nyingine zingeridhia. La muhimu ni kuwa, baada ya teknolojia kukua sana after WW II, Nchi zote zilizokuwa juu kiteknolojia hadi miaka ya 1990s, zilikuwa za Wazungu pekee - Ulaya, North America & Australia, ukiacha Japan ambayo pamoja na Ujerumani ziliwekewa vikwazo kadhaa vya teknolojia za kijeshi na hivyo kuzifanya zisiwe interested na masuala ya kijeshi jeshi. So, ilikuwa ni rahisi Nchi hizo (OECDs), kuzisikiliza Marekani na Urusi. Uzoefu unaonyesha kuwa, baada ya Cuban Crisis in 1963, USA na USSR, zilijongeana zaidi katika kutatua mizozo, so it's likely kuwa, Idara zao za kiulinzi na kiusalama zilishirikiana kuficha ukweli for sake of humanity.
Ndiyo maana watu wengi duniani wana matumaini kuwa, China inaweza ikaweka wazi baadhi ya mambo ambayo yamekuwa siri duniani kwa kuwa, haikuwahi kuhusika na Siri za kipindi hicho.
Swali, hao viumbe walioko huko kwanini wasije kutembelea kwetu manake naona ni dhana tu wapo aliens lakini hakun aliyewaona kama usa wanavyoaminisha area 51Hilo nalo neno. Hata hivyo inadaiwa viongozi duniani wakiwemo wa dini, huwa wanaogopa kuwa, ukweli ukijulikana kuwa kuna viumbe wengine ulimwenguni mbali na binadamu, italeta mkanganyiko mkubwa sana. Possibly itabadili kabisa hata mitazamo ya wanadamu kwenye dini zao. So, wanaona ni bora humanity ibakie gizani kuliko kuleta kihoro duniani.
Marekani wanalinda Nini hapo Kama si kweli...Wazandiki wanadanganya watu hao
Wewe ulishayaona majini? Unajua yanakoishi? Je, hujawahi kusikia shuhuda za uwepo wa makazi ya watu chini ya bahari?Swali, hao viumbe walioko huko kwanini wasije kutembelea kwetu manake naona ni dhana tu wapo aliens lakini hakun aliyewaona kama usa wanavyoaminisha area 51
hii unaweza kuifafanua zaidi? inaoinganaje na gravity?Panua akili yako kutaka kujifunza zaidi, elimu haina mwisho.
Hakuna mtu aliyewahi kufikiria kuwa, kuna siku Gravity itakuja kuwa proved wrong. Kuna Mtaalamu wa Chuo Kikuu cha Leiden, Uholanzi amefanikiwa mwaka 2016 kushawishi umma wa Wanasayansi dhidi ya theory ya Gravity na Dark Matter na sasa, kuna hofu kuwa, huenda suala hilo lita-transform Physics completely.
A theory that challenges Newton’s and Einstein’s gravity and nixes dark matter passed its first test
inakinzanajeTatizo kubwa hii elimu tunayoipata inazuia uwezo wa kufikiri ndio maana watu tunabisha bisha tu, sayansi sio kila kitu inauelewa nacho, pia kuna vitu wanasayansi wameviseti tu kwa manufaa yao au kutudanganya sisi tusiojua hali halisi. Kwa mfano gravity, theories of origin of universe, nk ni ngumu kumeza. Ukiona wanasansi wanakinzana hapo ndio ujiulize what is fact?
Pamoja na Mr Prof hapo juu, tukianza na kukinzana nadhani unaelwewa kulikuwa na clasical physics hawa walikuwa na mitamo yao kuhusu wave, partiçles nk kwa kufanya experiment wakapata hizo facts, ila baadae ila baadae wakaja modern phyisics wakaprove zile facts za clasical kuwa ni wrong, hivyo basi hata hizi facts tunazoziamini leo inawezekana kizazi kijacho wakagungua ni wrong.inakinzanaje
Mwaka 1913 Marshal Gardner alileta madai ya kwamba Dunia has an interior sun and can be explored via an opening in the arctic. Diary ambayo ilikuwa ni ya siri ambayo ilikuwa ni ya arctic explorer Richard Byrd ilionesha kuwa Richard aliifanikiwa kupata hiyo njia ya kuingia kwenye hiyo hollow ilikuwa ni mwaka 1947. Theorist wana claim kwamba Bwana Richard alilazimishwa akae kimya kuhusu hicho alichokigundua. Hii imebeba hiyo theory ya Dunia ina hollow, ina viumbe wanaishi ndani ya hollow na katikati ya tundu kuna Nyota Jua inayo support maisha ya hao viumbe.
Tuchukue kimoja katika hiyo theory inayosema kuna Jua, ninavyofahamu Mimi kwa uelewa wangu mdogo Corona ambalo ni tabaka LA nje la Jua. Lina joto linalofikia kiwango mpaka million 2-5 Fahrenheit degrees. Ok pengine ni kutokana na ukubwa wa jua lenyewe. Sayari ya Venus ambayo ni hottest planet in our solar system ina joto 463°. Tuchukulie umbali wa Sayari zilizo mbali na Jua na zilizokaribu na Jua. Kinachoonekana ni kwamba zitaathirika tena moja kwa moja. Zilizo mbali na Jua zitakuwa na joto dogo , zilizo karibu zitakuwa na joto kubwa tena lenye kuangamiza. Nukta yangu ni hii either Jua liwe karibu au mbali liwe kubwa au dogo kwa namna moja au nyengine tutaathirika nalo tu.
Suala uliloleta katika hollow ya Dunia kuna Jua. Its okay pengine ni dogo Ila kutokana na nishati ya Jua tutaathirika nalo tu. Kuna lava, right? Vipi kuhusu hilo, kuna mdau( Prof.) Amezungumzia kuhusu magnetic field na Electromagnetic ya Dunia, vipi kuhusu hilo nalo?
Sorry, kwa hili. Hii ni theory ni wrong.