Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Wakuu mleta mada amefikiri vema sana sema hili wazo limechelewa sana, lakini pia kwa viongozi wa kwetu jinsi ambavyo wanaendesha nchi kwa kujuana na kichuki zaidi na kutumia mihimili ya kidola vibaya tena sana badala ya usalama wa nchi tunavitumia kwa usalama wa watu binafsi hivyo hata kama leo tungekwapua hivyo visiwa bado tusingekuwa na faida yeyote ama manufaa zaidi ni kuwa na mzigo usiokuwa na tija.

Naona watu wanajaribu kutoa mifano ya mataifa kama Marekani kukwapua visiwa hao wenzetu wapo kwa ajili ya taifa lao na si kwa vyama au undugu na urafiki unafiki tulionao sisi hapa kwetu, kwa Tanzania hii leo akitokea mzalendo wa kumaanisha Tanzania kwanza na si kwa maneno mbona miaka 10 ni mingi sana tutakuwa tumefika mbali sana na wala hatuna shida na hivyo visiwa.

Mambo ya kuzingatia ili tufikie tunapotaka kufika lazima haya yawepo:
1.Uzalendo wa kweli sio unafiki
2.Vyombo vya ulinzi na usalama vitetee taifa na sio watu vyama
3.Sheria zitungwe zisizolalia upande mmoja ukipatikana na hatia hata kama ulikuwa mstaafu gereza linakuhusu
4.Siasa iishie jukwaani tu tukiingia kutekeleza hakuna siasa
Yapo mengi sana ila kwa haya machache yakizingatiwa vizuri kesho tu Tanzania tunakuwa wazungu weusi,Shida ya nchi watu wanawaza kuiba tu na sheria zinawalinda pamoja na vyombo vya usalama havichukui hatua hao hao tuliowapa dhamana kutulindia mali zetu ndio wezi wa kupindukia
 
Tena si wanaume tu? Makubwa haya mtoto wa kiume kujisifu kuwa una mabwana zako. Khaa!
TB Joshua i preach holiooo, ngoja nikutie adabu ajuza badala ukae utulie ule uzee kwa raha unakesha JF unadamka asubuhi uko humu.
.
Kaa upake rangi mvi hizo sio kufisadika humu ka kigori wa miaka 17.
Ntakutia adabu nilikwambia bifu langu halijaisha kwako na halitoisha ajuza mvaa mkwiji wewe
 
Mtoto wa kiume ambae si riziki hueleweka tu. Wenzako walibadili id humu.

Labda hunielewi. Uki beep napiga kweli.
 
Mtoto wa kiume ambae si riziki hueleweka tu. Wenzako walibali id humu.

Labda hunielewi. Uki beep napiga kweli.
Walibali au walibadili?
.
Mimi wewe umenisahau huniwezi hata kidogo tusi pekee ulilobakisha ni kuniita shoga na mwanaume sio ridhiki huna lingine nacheeeeka, yani kama mipasho unayo mimi nitakuwa nimekuzidi extra miles.
.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa chagua umuache ndugu yangu mwenye huu uzi naona ulitaka kumbana au nijikite kwenye mahoja nikushinde au tuje kwenye mipasho upashoni πŸ”₯πŸ”₯
 
Mwenzako kishaomba poo kiaina. Kishabadili nyimbo kutoka "kuvikwapua" mpaka kuomba ushirikiano.

Jambo ambalo lipo tayari.

Wewe useme mwenyewe kuwa una mabwana zako. Sasa mwanamme ukiwa na mabwana zako unakuwa nani kama si shoga? Au tukuite bwabwa? Shoga hulipendi?

Wewe uwe na hoja! Khaa.

"If such are the priests, God bless the congregation".
 
Zanzibar na mafia zimewashinda mnataka Comoro? Mafia hakuna usafiri wa uhakika , Zanzibar ni aksante Barekhsa.
Mbona nasikia kuna mchakato wa kununua boti mbili kubwa mpya kabisa kwa ajili ya kuhudumia Mafia? Au ni hadithi tu?
 
Hahahaha see this fool yes mimi nna bwana sina mabwana bwana wangu ni Yesu kristo aliye hai!
.
Mashoga/mabwabwa/ mandezi ni wanao wote wakiume.
.
Huwezi kunizidi kwa hoja in anything trust me and your cun.t
.
"When a thief kisses you quickly count your teeth.
(Khaligraph)
 
mahitaji karibubyote ya chakula inshort wa comorp ndio wanafanya dagaa na oviungo kuwa ghari japo na wao wamezungukwa na bahari
Aisee..., mi nadhani hawa na Tz tuwe kitu kimoja ili biashara ziende smoothly kabisa
 
Ooh sasa unakataa nini wakat unasema mwenyewe bwanako ni binaadam mwenzako. Ndiyo wale wale tu.

Wapi Yesu alikwambia umuite bwana'ko?

Mtoto vipi wewe.
 
Bora umenipokea kijiti bro, maana nilishamshindwa huyu bibi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Sawa; lakini lazima kuna manufaa hata sisi tunayapata; ni mutually beneficial cooperation
I agree with you.

Lakini kumbuka, Zanzibar & Tanganyika ziliungana kwa amani. Hakuna damu hakuna nothing! Ukisema tuvichukue hivyo visiwa vya Comoro haitakuwa rahisi kama unavyodhani.

Angalia vita ya Uganda na Tanzania for instance, mpaka leo inatuliza. Hasara ya karne!! Hakunaga faida kwenye vita... Tanzania is a peaceful country and we want it to stay that way.
 
Nimesema zitumike mbinu za kidiplomasia na sio vita, umenielewa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…