Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Whatever.Nimesema zitumike mbinu za kidiplomasia na sio vita, umenielewa vibaya
A very weak point from such a person. Watu wangapi wanatibiwa nje ya Tanzania?? Does it mean Tanzania ichukuliwe sasa??"Hospitali tegemezi kwa comoro ni Muhimbili na wakija wanalipa mafedha mengi tu"
LETS ARBSORBE HIS COUNTRY ECON.,WE CALL A BRIGHT GAME.
Umeandika vyema,Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?
Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?
Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.
Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.
===============================
===============================
Likes 19 tayari 😀👍👏💪
Tanzania ichukulowe?/ how..A very weak point from such a person. Watu wangapi wanatibiwa nje ya Tanzania?? Does it mean Tanzania ichukuliwe sasa??
You against you now.Tanzania ichukulowe?/ how..
ni sisi kuwafanya wacomoro watuyegemee kwa kila kitu na kwa huduma zote.
Nuff said.Umeandika vyema,
Ila wale tutashindwana nao kitu kimoja, wao lugha yao kuu ya taifa ni Kifaransa,tutakapokua taifa moja tutapata shida kwenye mawasiliano. Tukisie tu kua asilimia ya Watanzania wasiojua kifaransa ndio hiyo ya Wa Commoro wasiojua kiengereza.
Pili wavivu sana. Naandika kupitia uzoefu. Jamaa ni wavivu ajabu. Hawajitumi wala kujishughulisha kwa mambo mengi tu. Wanategemea zaidi ndugu zao walioko Ufaransa wawasaidie, sababu ni nchi unayoruhusu dual citizenship.
Tatu hawana utajiri wa kihivyo kusema tukiwachukua tutafaidika labda na kitu fulani. Moroni kidogo pana kaunafuu, lakini Anjouani na Moheli hakuna kitu. Kisiwa cha nne cha Mayote mfaransa alijimilikisha kutambo tu. Kwanza wao wakija hapa bongo au wakienda Madagascar ndo kama vile bongo unapoenda kula bata Dubai hivi au majuu. Shopping yenyewe wanafanyia Kariakoo. Nikiwa kule, kuna jamaa aliniambia wako katika nchi 10 masikini duniani.
Nne ni nchi chafu ajabu, yaani katikati ya mji kuna uchafu kila mahali. Nilipata kwenda kwenye "Kariakoo" yao, wenyewe wanaaita Volovolo Market, ni kama Uwanja wa Fisi hivi pale tandale. Na hakuna anaekerwa na huo uchafu.
Tano tuna tamaduni tofauti na wao. Kidogo Zanzibar wangeweza kuendana nao. Sababu hata Wangazija ndio kabila asilimia kubwa zaidi kule, hawa Wapo pia Zanzibar. Shida itakuja Wale wanaungana na sie, sio Zanzibar. Hatutoelewana kabisa. Hata vyakula ni tofauti. Nilishangaa kukuta eti paja la kuku wanakula matajiri wakati vipapatio (wanaita mabawa) ndio vinauzwa uswahilini. Yaan tuko nao tofauti sana.
Wahenga walisema "Ukitaka kula Nguruwe, chagua alienona", ili hata ukija kuta ni dhambi basi uandikiwe dhambi huku nawe ukiwa umefaidi. Na Ukitaka kuchepuka basi tafuta demu alie bomba, hata siku ukishikwa ugoni wengine waseme kweli kwa kifaa kile ilikua halali yako kuchepuka. Yanini kuanza kugombana na Jumuia za Kimataifa kwa ka nchi kama kale?
Zuri lao la kwanza sio wakorofi, wako humble and charming Sana. Pili Lugha yao ina kiswahili kwa mbali, labda 10% ~ 15% ya maneno yao ni kiswahili. Pia bongo flava yetu wanaipenda Sana.
Kenya wale ni useless kabisa wape pombe tu tayari mnachukuwaKwa sasa inabidi tuichukue kenya
Wacomorro Wanazungumza kiswahili safi kuliko hata waKenyaUmeandika vyema,

Thanks kwa kuuelewesha umma napi pia. lakini bado naona fursa kubwa sana,wao kama wao na serekali yap wameshindwa kutumia fursa ya uvuvi wa meli kubwa kama msingi wao mkuu.Umeandika vyema,

Hizo zote ulizotaja kwangu mimi ni even a bigger reason kuwa-ssimilate, mfaransa amevichakaza vibaya sana vile visiwa kwa maslahi yake, ni wakati wa sasa wa ku unlock full potential tuliyonayo kama wa-Afrika kwa kushirikiana kwa kuungana hasa hasa kwa mtindo wa muungano na Zanzibar jinsi ulivyofanyika.Umeandika vyema,
Ila wale tutashindwana nao kitu kimoja, wao lugha yao kuu ya taifa ni Kifaransa,tutakapokua taifa moja tutapata shida kwenye mawasiliano. Tukisie tu kua asilimia ya Watanzania wasiojua kifaransa ndio hiyo ya Wa Commoro wasiojua kiengereza.
Pili wavivu sana. Naandika kupitia uzoefu. Jamaa ni wavivu ajabu. Hawajitumi wala kujishughulisha kwa mambo mengi tu. Wanategemea zaidi ndugu zao walioko Ufaransa wawasaidie, sababu ni nchi unayoruhusu dual citizenship.
Tatu hawana utajiri wa kihivyo kusema tukiwachukua tutafaidika labda na kitu fulani. Moroni kidogo pana kaunafuu, lakini Anjouani na Moheli hakuna kitu. Kisiwa cha nne cha Mayote mfaransa alijimilikisha kutambo tu. Kwanza wao wakija hapa bongo au wakienda Madagascar ndo kama vile bongo unapoenda kula bata Dubai hivi au majuu. Shopping yenyewe wanafanyia Kariakoo. Nikiwa kule, kuna jamaa aliniambia wako katika nchi 10 masikini duniani.
Nne ni nchi chafu ajabu, yaani katikati ya mji kuna uchafu kila mahali. Nilipata kwenda kwenye "Kariakoo" yao, wenyewe wanaaita Volovolo Market, ni kama Uwanja wa Fisi hivi pale tandale. Na hakuna anaekerwa na huo uchafu.
Tano tuna tamaduni tofauti na wao. Kidogo Zanzibar wangeweza kuendana nao. Sababu hata Wangazija ndio kabila asilimia kubwa zaidi kule, hawa Wapo pia Zanzibar. Shida itakuja Wale wanaungana na sie, sio Zanzibar. Hatutoelewana kabisa. Hata vyakula ni tofauti. Nilishangaa kukuta eti paja la kuku wanakula matajiri wakati vipapatio (wanaita mabawa) ndio vinauzwa uswahilini. Yaan tuko nao tofauti sana.
Wahenga walisema "Ukitaka kula Nguruwe, chagua alienona", ili hata ukija kuta ni dhambi basi uandikiwe dhambi huku nawe ukiwa umefaidi. Na Ukitaka kuchepuka basi tafuta demu alie bomba, hata siku ukishikwa ugoni wengine waseme kweli kwa kifaa kile ilikua halali yako kuchepuka. Yanini kuanza kugombana na Jumuia za Kimataifa kwa ka nchi kama kale?
Zuri lao la kwanza sio wakorofi, wako humble and charming Sana. Pili Lugha yao ina kiswahili kwa mbali, labda 10% ~ 15% ya maneno yao ni kiswahili. Pia bongo flava yetu wanaipenda Sana.
Tunaomba hiyo nchi msiitaje tena humuKenya wale ni useless kabisa wape pombe tu tayari mnachukuwa
Huyu ajuza dawa yake ndogo anajifanya anajua kila kitu akileta undezi na wewe uwe unamletea undezi mkubwa zaidi.Bora umenipokea kijiti bro, maana nilishamshindwa huyu bibi..😂😂😂😁😃😄
Mimi mume wako unaniita mtoto?Ooh sasa unakataa nini wakat unasema mwenyewe bwanako ni binaadam mwenzako. Ndiyo wale wale tu.
Wapi Yesu alikwambia umuite bwana'ko?
Mtoto vipi wewe.
Tutatue changamoto za ndoa za sasa na mwenza wetu Zanzibar kabla ya kukimbilia ''kuongeza mke''
Kwa Nini kule kwao wakitoa matangazo ya kazi Wana limit kwamba lazima awe mkazi wa Zanzibar?Kuna manufaa gani tunayapata labda?maana kule kwao hata ukienda kuishi mtaani unatengwa au ukifungua duka hawaji kununua kwako na wanakutunga jina kukuita m'bara.Mbona huu uhusiano uko vizuri sana, chuo nilisoma na wazenji wasipongua 10 katika darasa moja, na wote walisomeshwa na bodi ya mikopo kwa 100%, huu muungano uko vizuri sana..
Wewe ndio umeongea point ya msingi sana kuliko wote.Sioni manufaa yoyote zaidi ya kutaka national prestige. Ukiangalia ardhi yenye rutba, water bodies, coastline, madini, historia na vyanzo vya utalii na bado tu maskini si kwa GDP wala HDI.
Ningependa hizo nguvu tungewekeza katika rasilimali watu ili tuwe na productive population na kama tutahitaji faida za kiuchumi, inaweza kutumika economic diplomacy.
Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana miaka hyo nasoma Mtwara tulikuwa tunapanda MV mapinduzi,Mv Aziza,Mv Santorini.Mkuu hii kitu niliwaza siku nyingi sana hivi visiwa ni sehemu ya Tanzania kabisa. Nakumbuka enzi hizo tunaenda Mtwara na MV Mapinduzi likipigwa kidogo tu mawimbi tunajikuta tuko Comoros.
Wewe punguani kwelikweli huyo anaetajwa kwenye Yeremia 17 ni Yesu? Kawadanganye wengine...Mimi mume wako unaniita mtoto?
.
Ni kheri kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu nakutia aibu ajuza
.
Yeremia 17:7-8 ''Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake. Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda. ''
.
Jesus is the Lord
.
Fanya kampango utandike kitanda nakuja kukuharibu mtaro
Sasa unafikiri ni nani? Yesu hajatajwa kama bwana sehemu moja nikianza kuleta mistari aliyoitwa bwana tutakesha, alianza kutabiriwa kuanzia kitabu cha mwanzo (Genesis)Wewe punguani kwelikweli huyo anaetajwa kwenye Yeremia 17 ni Yesu? Kawadanganye wengine...
Naaam wala hujakosea bi ajuza naona umemtaja Yesu kabisa (BWANA)Soma juu kidogo hapo aya ya 5...
5 Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.